IKARAHANSI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 398
- 479
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo. 1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo). 2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu. 3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr 4-Muonekano mzuri na imara. 5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji. 6-Iwe na uwezo wa kupita off-road. 7-Isiwe old model. 8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw). Na kinachonimaliza kabisa... 9-Iwe na bei nafuu. Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka.. Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k... Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu? Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.![]()
![]()
![]()
Mkuu binafsi nimekuelewa unachoomaanisha. Kinachotokea ni kuwa watu wengi wa kipato cha chini na cha kati, hatuna elimu kuhusu magari hivyo tunanunua kwa kusikilizia sifa za magari hayo kwa watu wengine, wengine tunanunua magari ili tuonekane kuwa tuna magari (hakuna lengo maalumu la kuwa na gari)Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.
1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).
Na kinachonimaliza kabisa...
9-Iwe na bei nafuu.
Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..
Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k
Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?
Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.
![]()
![]()
![]()
Kingine ni maisha ya kuigiza hii pia inaleta hofu ya kupata habari Zaidi (maana naona nikiuliza nitaonekana sijui) hivyo naenda kimya kimya. Lakini la zaidi kwa baadhi yetu hasa WANAUME ni tabia ya kujiendekeza kwa kutaka vitu vizuri kwa bei nafuu huku tukijua kuwa tangu zama za wazee wetu "UKITAKA UZURI SHARTI UZURIKE (Maana yake vizuri vina gharama)