Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Narudia tena dunia nzima Toyota used ni expensive kuliko Bmw/Benz etc za same specs/year,wewe kama unaongelea Toyota za scrapyard(kama ulivyosema mwenyewe) za huko SA then endelea nazo.

Torque vs HP kwahiyo hapo Toyota amemzidi benz sio?
Benz ni ya 2017 na crown ni 2019.
Toyota bado Sana kwa German
 
Royalsaloom, Athlete au Majesta ?
Athlete ina suspension ngumu, mashimo unayasikia, naona ni kwa sababu ni sport na inachanganya haraka(acceleration).
Saloon ina suspension soft, unakuwa comfortable barabarani, ni luxury kuliko athlete.
Majesta sijawahi kuendesha, itakuwa ni nzuri pia, kwa uzoefu wangu nitachukua royal saloon.
Nitachukua royal saloon napenda gari inanibembeleza, kama sport car nitaenda kwa Vw Gti, kwa maana inaizidi acceleration na top speed.
Thanks.
 
mimi mwenyewe natumia Carina ti ila tuache unazi Toyota/Lexus bado Sana kwa Germany machine.
Labda Nissan gtr kidogo ndio inasumbua ,tena inasumbua kwa mbio tu
 
wanazi wenzangu wa Toyota nawapa home work mnitafutie gari used iwe toyota, Lexus au Nissan inayozidi hiyo bei ya Mercedes Benz.
Ifikie hatua tuwe tunaheshimu wakubwa zetu
 
Achana na hawa vijana.

Wanajazana ujinga vijiwe vya pombe leo wanakurupuka toyota is more expensive kuliko bmw.

Gari ina airbag 2 unailinganisha na gari yenye airbag 6 na kuendelea.
[emoji2][emoji2][emoji2] jamaa unavyobishana utadhani unaendesha G-wagon kumbe unaendesha harrier tena ya kupewa na shangazi kwa bei nafuu(umesema mwenyewe hii),[emoji2][emoji2][emoji2] kua mjuaji huku mfukoni bila bila ni raha sana aisee.
 
Unalinganisha Rolls royce au Bentley na Toyota?

Hata Benz, Audi na BMW hazikaribii hizo levels.

Unavuta mbolea wewe.

No wonder mnalinganisha Toyota Aristo na Porsche 911 Turbo S.
Sasa wewe unayesema 'eti Supra ni sport car afu Aristo ni gari ya kawaida' wkt zote hizo ni 2jz-gte utakua unajua nini sasa cha kubishana?
 
View attachment 1701902wanazi wenzangu wa Toyota nawapa home work mnitafutie gari used iwe toyota, Lexus au Nissan inayozidi hiyo bei ya Mercedes Benz.
Ifikie hatua tuwe tunaheshimu wakubwa zetu
Vijana tafuteni maarifa la sivyo mtakuja kuumbuka mbele ya wanaume.

Ngoja nikusaidie ku convert hizo € kwenda kwny $ ujionee utamu wa mjapani pale anapoamua kuonyesha umwamba wake.


Hio gari inayouzwa €745,000 = $902,976
Hio gari inayouzwa €605,858= $734,329
Hio gari inayouzwa €567,093= $687,344.
Hio gari inayouzwa €512,756 = $621,485

Yaani hapo gari ya pesa ndogo ni ya $621,485 [emoji23][emoji6][emoji6][emoji54],mpk hapo Germany machine a.ka Sijui monster a.ka nini sijui kapigwa bila wese.


Extrovert
Holy Man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…