Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Narudia tena dunia nzima Toyota used ni expensive kuliko Bmw/Benz etc za same specs/year,wewe kama unaongelea Toyota za scrapyard(kama ulivyosema mwenyewe) za huko SA then endelea nazo.
Screenshot_20210213-233629.png
Screenshot_20210213-233430.png

Torque vs HP kwahiyo hapo Toyota amemzidi benz sio?
Benz ni ya 2017 na crown ni 2019.
Toyota bado Sana kwa German
 
Royalsaloom, Athlete au Majesta ?
Athlete ina suspension ngumu, mashimo unayasikia, naona ni kwa sababu ni sport na inachanganya haraka(acceleration).
Saloon ina suspension soft, unakuwa comfortable barabarani, ni luxury kuliko athlete.
Majesta sijawahi kuendesha, itakuwa ni nzuri pia, kwa uzoefu wangu nitachukua royal saloon.
Nitachukua royal saloon napenda gari inanibembeleza, kama sport car nitaenda kwa Vw Gti, kwa maana inaizidi acceleration na top speed.
Thanks.
 
Kwa hio Toyota used huko UK,US ni cheap kulinganisha na other brands?

Dunia nzima depreciation za bmw,mercedes,audi,porsche etc ni kubwa sana kulinganisha na Toyota/honda,so used japanese cars ni expensive kulinganisha na other brands kwny gari zilizoko kwny same categories.

Nasisitiza tena hata UK,USA toyota used ni expensive kuliko hizo used za Germany.
Screenshot_20210214-003746.png
Screenshot_20210214-002928.png
mimi mwenyewe natumia Carina ti ila tuache unazi Toyota/Lexus bado Sana kwa Germany machine.
Labda Nissan gtr kidogo ndio inasumbua ,tena inasumbua kwa mbio tu
 
Screenshot_20210214-003836.png
wanazi wenzangu wa Toyota nawapa home work mnitafutie gari used iwe toyota, Lexus au Nissan inayozidi hiyo bei ya Mercedes Benz.
Ifikie hatua tuwe tunaheshimu wakubwa zetu
 
Achana na hawa vijana.

Wanajazana ujinga vijiwe vya pombe leo wanakurupuka toyota is more expensive kuliko bmw.

Gari ina airbag 2 unailinganisha na gari yenye airbag 6 na kuendelea.
[emoji2][emoji2][emoji2] jamaa unavyobishana utadhani unaendesha G-wagon kumbe unaendesha harrier tena ya kupewa na shangazi kwa bei nafuu(umesema mwenyewe hii),[emoji2][emoji2][emoji2] kua mjuaji huku mfukoni bila bila ni raha sana aisee.
 
Unalinganisha Rolls royce au Bentley na Toyota?

Hata Benz, Audi na BMW hazikaribii hizo levels.

Unavuta mbolea wewe.

No wonder mnalinganisha Toyota Aristo na Porsche 911 Turbo S.
Sasa wewe unayesema 'eti Supra ni sport car afu Aristo ni gari ya kawaida' wkt zote hizo ni 2jz-gte utakua unajua nini sasa cha kubishana?
 
View attachment 1701902wanazi wenzangu wa Toyota nawapa home work mnitafutie gari used iwe toyota, Lexus au Nissan inayozidi hiyo bei ya Mercedes Benz.
Ifikie hatua tuwe tunaheshimu wakubwa zetu
Vijana tafuteni maarifa la sivyo mtakuja kuumbuka mbele ya wanaume.

Ngoja nikusaidie ku convert hizo € kwenda kwny $ ujionee utamu wa mjapani pale anapoamua kuonyesha umwamba wake.


Hio gari inayouzwa €745,000 = $902,976
Hio gari inayouzwa €605,858= $734,329
Hio gari inayouzwa €567,093= $687,344.
Hio gari inayouzwa €512,756 = $621,485

Yaani hapo gari ya pesa ndogo ni ya $621,485 [emoji23][emoji6][emoji6][emoji54],mpk hapo Germany machine a.ka Sijui monster a.ka nini sijui kapigwa bila wese.

Screenshot_2021-02-14-03-34-18-1.jpg
Screenshot_2021-02-14-03-34-23-1.jpg
Screenshot_2021-02-14-03-34-37-1.jpg
Screenshot_2021-02-14-03-27-48-1.jpg
Screenshot_2021-02-14-03-34-14-1.jpg

Extrovert
Holy Man
 
Back
Top Bottom