Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

7 yrs old stories.

Gari ukifisha 150kph unaanza kuhofia maisha yako.
Hakika harrier old model ndio tabia zake hizo,ingia ingia youtube uangalie M3/M5 ikifika 160mph utofauti wake na hio harrier yako unakuaje then uje hapa utuhadhie mambo ya Germany machines/monsters [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
 
Kama nina gari nyingine tayari basi hapo nitachukua Bmw na sababu kubwa hiyo ni gari ya heshima na heshima yake inatambulika na wengi miongoni mwa hizo.
 
Kutoka Carina Ti mpaka huko itakuwa umevuka stage hivyo punde tu raha itageuka mateso, angalau kwanza ungesogea kwenye Mark x, Brevis, Gx 110 nk.
Mbona tunatishana mkuu kwani Nissan fuga ina tatizo gani tenaπŸ€”mpka niende kwenye mabrevis?
 
Mbona tunatishana mkuu kwani Nissan fuga ina tatizo gani tena[emoji848]mpka niende kwenye mabrevis?
Gharama zote ulizozoea mwanzo katika Ti zitapaa ghafla kiasi cha kukuchanganya kabisa iwapo kipato chako ni kile kile, gharama za oil, vipuri, fuel nk utajiona upo dunia nyingine.
Ila ukisogea kwenye hizo nyingine ni sawa na kutoka moja kwenda mbili...ila kama life safi uliamua tu kuwa na Ti ni sawa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…