Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
7 yrs old stories.Hahah wacha maneno mengi blaza,we endesha zako tu harrier old model wala hakuna mtu atakayekushangaa.
Gari ukifisha 150kph unaanza kuhofia maisha yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
7 yrs old stories.Hahah wacha maneno mengi blaza,we endesha zako tu harrier old model wala hakuna mtu atakayekushangaa.
Benz mimi navyoziona sijui Kama inatakiwa zifananishwe na hizo zingine sijui kwa kweli..Benz S class unaipambanisha na la luxury arm ya Toyota ambayo ni lexus LS 450/500 sio Crown.
Hakika harrier old model ndio tabia zake hizo,ingia ingia youtube uangalie M3/M5 ikifika 160mph utofauti wake na hio harrier yako unakuaje then uje hapa utuhadhie mambo ya Germany machines/monsters [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].7 yrs old stories.
Gari ukifisha 150kph unaanza kuhofia maisha yako.
Kwa hizi hizi barabara zetu za Dar - Moro????7 yrs old stories.
Gari ukifisha 150kph unaanza kuhofia maisha yako.
Nina amini kuna watu wanataka ladha tofauti na S class hata kama MB ndiye baba wa luxury sedans, A8, 7series, LS 460/500, kuna mtoto mpya Genesis GV80 nk.Benz mimi navyoziona sijui Kama inatakiwa zifananishwe na hizo zingine sijui kwa kweli..
Ndg yangu nakuamini sana kwenye magari na hilo unalijua MB muache kabisaa gari zina comfort ya tofauti sana zile...Nina amini kuna watu wanataka ladha tofauti na S class hata kama MB ndiye baba wa luxury sedans, A8, 7series, LS 460/500, kuna mtoto mpya Genesis GV80 nk.
Nina Carina ti yangu safari ndefu naumia tu mgongo na kiuno .Ndg yangu nakuamini sana kwenye magari na hilo unalijua MB muache kabisaa gari zina comfort ya tofauti sana zile...
Fuga ina nini mkuuGari ambazo waTanzania wanaziogopa kuzimiliki kwa uoga na kuzipatia negative reviews kwa sababu ya uoga wao.
Gari inaweza kuwa ya toyota,lexus, bmw n.k..........
Si unaona nissan fuga.........
Kama nina gari nyingine tayari basi hapo nitachukua Bmw na sababu kubwa hiyo ni gari ya heshima na heshima yake inatambulika na wengi miongoni mwa hizo.Unapewa pesa kwa ajili ya kazi za field Tabora, Kigoma na Katavi. Unaambiwa kazi ni ya mwaka mzima, field ikiisha gari linabaki kuwa mali yako. Gari zilizopendekezwa field ni Ford Everest / Toyota Fortuner na BMW X5. Unaenda kwa gari lipi? Na sababu kuu ni ipi?
View attachment 1702603View attachment 1702604View attachment 1702605
Naona VQ35 wanaiogopa mixer kudanganyanyana khs spare parts.Fuga ina nini mkuu
Carina Ti Ni taxi hapa mjini,so lazima uumwe mgongo tu mkuu kwny masafa marefu.😃😃😃😃Nina Carina ti yangu safari ndefu naumia tu mgongo na kiuno .
Isanga family kwa SA Nissan fuga 2014 napata kwa Rand ngapi?
Kutoka Carina Ti mpaka huko itakuwa umevuka stage hivyo punde tu raha itageuka mateso, angalau kwanza ungesogea kwenye Mark x, Brevis, Gx 110 nk.View attachment 1702111nilikosea ni 2012 sio 2018 apo Kodi inacheza m8
Mbona tunatishana mkuu kwani Nissan fuga ina tatizo gani tena🤔mpka niende kwenye mabrevis?Kutoka Carina Ti mpaka huko itakuwa umevuka stage hivyo punde tu raha itageuka mateso, angalau kwanza ungesogea kwenye Mark x, Brevis, Gx 110 nk.
😁😁 Kweli hiyo ni taxi za town,jinsi nilivyo tall gari inaumiza balaaCarina Ti Ni taxi hapa mjini,so lazima uumwe mgongo tu mkuu kwny masafa marefu.😃😃😃😃
Field kigoma,katavi,Tabora uwe unatumia X5?Kama nina gari nyingine tayari basi hapo nitachukua Bmw na sababu kubwa hiyo ni gari ya heshima na heshima yake inatambulika na wengi miongoni mwa hizo.
Ngoja ntaangalia wiki hii ntakujulisha Nissan na Subaru hazina bei kubwa hapa na pia kikokoteo cha TRA Kodi sio kubwa kama Toyota...Nina Carina ti yangu safari ndefu naumia tu mgongo na kiuno .
Isanga family kwa SA Nissan fuga 2014 napata kwa Rand ngapi?
Fortuner itafaa zaidi kama mazingira ya huko ni hovyo, sijawahi kufika huko.Field kigoma,katavi,Tabora uwe unatumia X5?
Huko hapafai mzee,halafu ikitokea breakdown au shida yoyote ile kwny gari mkoa mzima hakuna hata diagnosis machine 1 yaani ni changamoto sana mkuu.Fortuner itafaa zaidi kama mazingira ya huko ni hovyo, sijawahi kufika huko.
🙏 Utanijulisha mkuu usisahauNgoja ntaangalia wiki hii ntakujulisha Nissan na Subaru hazina bei kubwa hapa na pia kikokoteo cha TRA Kodi sio kubwa kama Toyota...
Gharama zote ulizozoea mwanzo katika Ti zitapaa ghafla kiasi cha kukuchanganya kabisa iwapo kipato chako ni kile kile, gharama za oil, vipuri, fuel nk utajiona upo dunia nyingine.Mbona tunatishana mkuu kwani Nissan fuga ina tatizo gani tena[emoji848]mpka niende kwenye mabrevis?