Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Ni RX 450h kwenye cover ya engine imeandikwa Lexus hybrid drive...
Ukicheki hio 2012 rx 450h hata kwny website maarufu za huko UK,US kama Auto trader,Car gurus,Edmunds etc bei yake sio ya mchezo,mjapan used sio huku Africa tu dunia nzima price yake sio ndogo.
Screenshot_2021-02-12-10-55-10-1.jpg
Screenshot_2021-02-12-10-55-15-1.jpg
Screenshot_2021-02-12-10-55-29-1.jpg
 
Ukicheki hio 2012 rx 450h hata kwny website maarufu za huko UK,US kama Auto trader,Car gurus,Edmunds etc bei yake sio ya mchezo,mjapan used sio huku Africa tu dunia nzima price yake s
Mkuu Mimi mara nyingi huwa naenda nikitaka kufanya biashara niliwahi enda Hong Kong hapo camteen nilikutana na bei ya kutupa ya magari ila mtandaoni kwa dealer zipo juu kidogo kuna Subaru moja nabishana nao bei ya 2014 nzuri sana...
 
Nimekaa UK kipindi kirefu tu na nilikua natumia Avalon used na bmw 528i,price za Toyota used kulinganisha na brands nyingine kwny same category zilikua ni expensive tu.
 
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg
Ambao hatuna magari tunyooshe mikono juu 🙌🙌👆watuache tuisake IST
 
Kenya KRA na wenyewe kodi zao mbona hawatofautiani sana na sisi.
RX-LEXUS.PNG

KenyaRxTx.PNG

Nimeangalia hii gari Rx-350, kwa Kenya motor vehicle import, gharama inakluja milioni 45, hawana tofauti na TRA.
 
Attachments

  • rxlexus.PNG
    rxlexus.PNG
    112.1 KB · Views: 1
  • RX-LEXUS.PNG
    RX-LEXUS.PNG
    140.1 KB · Views: 1
Nimekaa UK kipindi kirefu tu na nilikua natumia Avalon used na bmw 528i,price za Toyota used kulinganisha na brands nyingine kwny same category zilikua ni expensive tu.
Sasa sikuelewi Mkuu mimi sipo kubishana wala kuzungumzia chochote hapa nilipo ndio Nchi wanaongoza Afrika kwa kutengeneza magari mengi na wauzaji wakubwa wa Toyota kwa hiyo Toyota sio big deal ni Kama gari zingine tuu inategemeana na mwaka huku naona wageni au raia wapo na magari ya miaka ya karibuni tofauti na Nchi zingine nikisema bei za magari mengine watu watabaki kushangaa tuu kwa kuwa hawajazoea kuambiwa bei za chini wengi wanapenda kuongeza sifuri ili aonekane kanunua bei kubwa...
 
Umesema wajapan wanawapiga waafrika kwa kuwauzia used toyota bei mbaya,na mimi nimekuonyesha kwamba used toyota ni expensive hata huko kwa mabeberu USA/UK/Australia etc na wala sio kwamba wa Africa wanapigwa mkuu.

Sasa mpk hapo sijajua tunachobishania ni nini.
 
Gari za Toyota zinafahamika kuwa sio sumbufu kwenye matunzo ndio maana bei zake ziko imara dunia nzima.
 
Umesema wajapan wanawapiga waafrika kwa kuwauzia used toyota bei mbaya,na mimi nimekuonyesha kwamba used toyota ni expensive hata huko kwa mabeberu USA/UK/Australia etc na wala sio kwamba wa Africa wanapigwa mkuu.

Sasa mpk hapo sijajua tunachobishania ni nini.
Mimi mpaka kesho naamini tunauziwa bei kubwa gari za zamani Mkuu ndio maana pesa hiyo hiyo hapa nanunua gari ya maana sana hata nikiamua nichukue Toyota itakua ya miaka ya karibuni na ikiwezekana 2018 huku tunacheza sana na mwaka kwa gari za kutembelea ila za mizigo haa hata 1990 nanunua...
 
Sawa mkuu.
 
Kabisa mkuu,mabeberu yenyewe yamedata na reliability ya Toyota hayataki kabisa kusikia story za sijui power/monster/comfortability 😃😃😃😃😃
Unajua wewe upo kwenye ubishi wa sijui Toyota na gari za ulaya huko mimi sipo mm nanunua nachokipenda na nina Toyota na hayo mengine hoja yangu ni kwamba wajapani bei zao zipo juu kwa gari za zamani ambayo huku sio dili nimekutolea mfano wa hiyo lexus nimenunua bei ya kutupa na zipo Toyota nyingi mno hapa bei ya kawaida...narudia tena iwe Benz,Toyota,Bmw ikiwa ya muda kidogo tunanunua bei ndogo kupita maelezo huku mwaka ndio kigezo chao kikuu sio Japan ...
 
Narudia tena dunia nzima Toyota used ni expensive kuliko Bmw/Benz etc za same specs/year,wewe kama unaongelea Toyota za scrapyard(kama ulivyosema mwenyewe) za huko SA then endelea nazo.
 
Narudia tena dunia nzima Toyota used ni expensive kuliko Bmw/Benz etc za same specs/year,wewe kama unaongelea Toyota za scrapyard(kama ulivyosema mwenyewe) za huko SA then endelea nazofaah
Narudia tena dunia nzima Toyota used ni expensive kuliko Bmw/Benz etc za same specs/year,wewe kama unaongelea Toyota za scrapyard(kama ulivyosema mwenyewe) za huko SA then endelea nazo.
Lazima niendelee nazo ndio zinazonipa ugali Mkuu bila minada hapa ingekua tabu kidogo...
 
Back
Top Bottom