magari na madereva kwa pamoja wana shidaHivi magari ya dangote yana shida gani?
Je tatizo ni magari au madereva?
Chanzo cha ajali ni ccmHivi magari ya dangote yana shida gani?
Je tatizo ni magari au madereva?
Kama hakuna majeruhi na vifo ni jambo la kumshukuru MunguView attachment 1539199View attachment 1539200imeziba barabara ya Kilwa.
Inasemekana lilimshinda dereva na kuhama barabara na kuparamia nyumba na kuharibu mali za watu.
Kuna foleni kubwa sana.
Acha hizo mkuu! Kwani ukubwa wa uwekezaji unakuwa determined na aina ya trucks anazomiliki mtu?Haya malori ya kichina Kule china yanauzwa kwa mafungu. Dangote alinunua malori 500 sawa na scania mpya 10. Akafika Tz akaitwa mwekezaji mkubwa.
Watu wanaenda dar- congo bila tingo unashangaa mtwara to kyaka! Halafu tingo has nothing to do with road accidents.Madereva wa hii kampuni wanasafiri miendo mirefu sana bila kua na Tingo wala Madereva wasaidizi. Dereva anakanyaga gia mtwara mpaka Kyaka na sio tripu moja tu