Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wanatanua utafikiri wameiweka serikali mfukoni.Kuanzia mwenge eneo lote hadi lugalo ni eneo la ambalo magari mengi ya serikali, jeshi na viongoz hutanua na kusababisha ajari lakini huwa hawasimami!
Na hakuna wa kuhoji!
Wakigonga huwa hata hawasimami!
Wewe nae! Umeambiwa Mwenge/Moroko wewe unabadili gia na kuwa Mwenge/ Lugalo! Barabara hiyo anaijenga mwanao yule aliyemaliza la saba mwaka jana?Kuanzia mwenge eneo lote hadi lugalo ni eneo la ambalo magari mengi ya serikali, jeshi na viongoz hutanua na kusababisha ajari lakini huwa hawasimami!
Na hakuna wa kuhoji!
Wakigonga huwa hata hawasimami!
Nikitafakari yanayomtokea Trump leo hii, madaraka ni koti la kisenge sana mamamae!
Huyo Jaji aliyesababisha ajali tutatafuta jina na kuliweka hapa.Majaji wanavyokimbia barabara za mwendokasi ni hatari...
Trump amekuwa takatakaNikitafakari yanayomtokea Trump leo hii, madaraka ni koti la kisenge sana mamamae!
Madereva wote waje kusoma hii commentAsingemkwepa angeivaa tu hiyo gari ya J
Kuliko kuwaparamia wajenzi hao
Ova
Ofisi ya mtu hiyo, dereva naye analinda Ofisi yake. Akiligongesha mwisho wa siku atakuwa hana kazi ndo maana analazimika kukwepa. Hao waliogongwa bahati yao mbaya tu. Mungu awasaidie kuponaAsingemkwepa angeivaa tu hiyo gari ya J
Kuliko kuwaparamia wajenzi hao
Ova