Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Kuna gari moja ya serikali ilisababishaga ajali nasikia magomeni, then ikasepa kupitia barabara ya mwendokasi.
Bodaboda wakalala naye mbele, anafika mwanamboka mataa yakawa yameruhusu magari ya kutoka posta. Akawa anataka kupanda ule ukingo ahamie barabara ya kawaida gari ikashindwa, na mara bodaboda hawa hapa.
We! Sijawahi kuona mtu aliyevaa suti akitimua mbio kwa mguu kama yule dereva wa serikali! Unaambiwa alitimua mbio hadi oysterbay.