Gari ya kitenge kuhusishwa na mambo ya bandari ni ujuha! Inaonyesha mmeanza kukosa hoja!

Kwahio na wewe huu ni muendelezo wa Suppositions ?

Hakuna unachojua ila unabishia wale ambao wanasema huenda wanajua...

Point yako kuu ambayo naikubali ni kwamba tujadili hoja; pia nadhani watu wanaoshangaa baadhi ya watu ni kukubaliana na hili swala bila kujua vifungu vyote hata baada ya baadhi ya watu kusema kwamba kuna vifungu havipo sawa....

Common sense inanituma kwamba ukiambiwa fulani ni mchawi na ana tabia mbaya hautabisha tu na kumpelekea mtoto wako bali utaangalia kama wanachosema ni cha ukweli na kuhoji na ikibidi kuchunguza sio kutetea tu bila kuangalia tena na tena; ukizingatia jambo unalatoka kumpa sio dogo na lina uzito.....

What's wrong with transparency ? (Hususan kwa watu nchi yenye historia ya kuingia mikataba yenye madudu)
 
Mtoa mada ungekaa kimya ili watu wasijue kuwa wewe ni mjinga, ila kwa vile umeamua kusema basi a cha upigwe za uso tu

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Simfahamu kitenge

Lakini wahujumu uchumi

wanaomiliki bandari kavu

Na wanyonyaji

kitenge ni mwandishi wa habari na alienda kule kujiridhisha

Kilichompeleka kule ni kampuni yake yenye weledi mkubwa ya wasafi media ili wapate habari za uhakika
Humfahamu, ila Unawajua Wanyonyaji, wengine wanasema Wanamjua na amemeza fweza ila weye hutaki. Nani aaminiwe?

Hajulikani
Wanajulikana
Wamiliki Bandari waliopita na hata wapya ni wahujumu uchumi??

Aisee
 

Dada mbona umeandika kwa hisia, tuliza akili mrembo
 
chadema kwa uzushi hapana kwa kweli.wao wanangalia gari la kitenge wakati wao hata ofisi hawana na hawahoji hilo
 
Naona umetumwa Kuja kutetea ujinga.
 
Umenena vyema Mkuu.
 
 
Umehukumu waliotoa mawazo yao.Na wakati huohuo unaeleza haumjui Kitenge.Ukiitwa fala faragosi utakataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…