Gari yako ikifikia hatua hii kauze tu kwawanaokata magari

Gari yako ikifikia hatua hii kauze tu kwawanaokata magari

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
3,381
Reaction score
9,744
Screenshot_2022-02-08-17-44-22-867_com.us.thinkdiag.plus.jpg

Screenshot_2022-02-08-18-55-31-322_com.us.thinkdiag.plus.jpg

Kinyume cha hapo hakuna rangi utaacha kuona.

Hizi ndio zile Mercedes Benz zinauzwa 2m unahisi km umeangukia dodo. 😂😂😂
 
Still Ni dodo maana majina issue hapo Ni engine and you can cheaply order yenye Hali nzuri!

Huwezi Kuwa mjanja wa kila kitu, Gari Ni body always, the engine can be recovered

Eti eh... Hiyo gari ni ya 98 hapo matatizo mengi ni short circuit za wire.

Utanunua engine mpya bado utalia kilio kikuu.
 
View attachment 2112968

View attachment 2112970

Kinyume cha hapo hakuna rangi utaacha kuona.

Hizi ndio zile Mercedes Benz zinauzwa 2m unahisi km umeangukia dodo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Swali langu ni kwa namna gani hizi diagnosis machines zipo reliable?Brand au chochote tu kinaaminika?Havichakachuliwi?

Nimeuliza hivyo nikivifananisha na vile vimachine vya kupimia magonjwa kwenye kwenye kliniki nyingi za mitaani.Ukitoka hapo una magonjwa kama hamsa mia.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kwa Benz anaweza akairudisha barabarani sema gharama zake si ndogo ila bado inawezekana..

Kikubwa ni kuagiza aletewe genuine spare parts zake unafanya kubadilisha..Wanaoogopesha ni mafundi uchwara ambao wakishindwa kitu wanakimbilia kuponda.

Lastly kwa 'Benz' naamini body yake itakuwa bado imara na functionality zingine nje ya engine hazijaharibika..
 
Wewe umeongelea a general issue Na sio hiyo Gari, plus, we Fala kuna watu wanajua Magari kuliko wewe!

General issue gani ambayo nimeongea?

Hiyo gari nimepima mimi au unahisi hizo picha nimeokota?

Hakuna mahali me nimeandika najua magari kuliko mtu yoyote. Sijui we umetoa wapi hayo maneno?

We uliongelea kuhusu kununua engine nyingine ila mimi nikakuambia vitu vingi hapo ni short circuit na open circuit. Kwa gari hizo za ulaya uwezekano mkubwa ni kuchoka wiring.

Engine tu ina faults 13 we unajua ni vitu gani?
 
Siku njema
 
Back
Top Bottom