Gari yako ikifikia hatua hii kauze tu kwawanaokata magari

Gari yako ikifikia hatua hii kauze tu kwawanaokata magari

Swali langu ni kwa namna gani hizi diagnosis machines zipo reliable?Brand au chochote tu kinaaminika?Havichakachuliwi?..
Nimeuliza hivyo nikivifananisha na vile vimachine vya kupimia magonjwa kwenye kwenye kliniki nyingi za mitaani.Ukitoka hapo una magonjwa kama hamsa mia.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app

Labda nikurahisishie hivi,

Unapoweka mashine ya diagnosis yenyewe inachofanya ni kusoma taarifa za matatizo ambazo zimehifadhiwa kwenye mfumo wa computer wa gari. Hivo tu.

Hivyo ukiona mashine imekuletea fault jua hiyo fault ilihifadhiwa mahali ndio wewe umeweza kuiona.

Sijui umenielewa?
 
Siyo kidogo....

Mzee wa Benz hazina magonjwa umeona kitu hicho?😂😂

Halafu engine Diesel
Gari za diesel zipo complicated kuliko petrol.. mie gari za diesel hapana asieee.. hiyo benz pia itakuwa imetoka singapore tu 😂😂😂😂.. aliweke vizuri kidogo ahonge pisi ya maana taoanekana wa maana.. na kula mema vizurii tu kuliko kulichabanga kama chuma chakavu
 
kwa sisi tusiojua magari

Mimi nataka kigari cha kuanzia maisha ambacho ni ecodomy, kina space ya wastan sio ndogo sana , spare zake zinapatikana kirahisi na bei nafuu

Bei kuanzia 10m kushuka chini naomba msaada wenu
 
Gari za diesel zipo complicated kuliko petrol.. mie gari za diesel hapana asieee.. hiyo benz pia itakuwa imetoka singapore tu 😂😂😂😂.. aliweke vizuri kidogo ahonge pisi ya maana taoanekana wa maana.. na kula mema vizurii tu kuliko kulichabanga kama chuma chakavu

Gari ipo Bongo toka 2003.

Utunzaji wa magari wa sisi waswahili unaujua. 😂Kikubwa gari itembee mengine yatajisumbukia.
 
Back
Top Bottom