Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
HeheheMods naomba mnibadilishie title isomeke hivi, "Gari yako ikifikia hatua hii hakuna rangi utaacha kuona".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheMods naomba mnibadilishie title isomeke hivi, "Gari yako ikifikia hatua hii hakuna rangi utaacha kuona".
Hehehe
Mkuu hakuna gari la kuanzia maisha...gari ni gari tu lazima pesa ikutoke kulihudumia...hapo utaambiwa utafute vitz au IST au carinakwa sisi tusiojua magari
Mimi nataka kigari cha kuanzia maisha ambacho ni ecodomy, kina space ya wastan sio ndogo sana , spare zake zinapatikana kirahisi na bei nafuu
Bei kuanzia 10m kushuka chini naomba msaada wenu
used yoyote ambayo ipo kwenye hali nzuriUsed za nje au za humuhumu?
kuanzia maisha namaanisha gari la kawaida kuhusu suala la kuhudumia hilo nalifahamu vzr mkuuMkuu hakuna gari la kuanzia maisha...gari ni gari tu lazima pesa ikutoke kulihudumia...hapo utaambiwa utafute vitz au IST au carina
sawa sawakuanzia maisha namaanisha gari la kawaida kuhusu suala la kuhudumia hilo nalifahamu vzr mku
used yoyote ambayo ipo kwenye hali nzuri
Mashoga hawaruhusiwi kwenye huu uzi...kama unajua sana kafungue uzi wako mshamba wewe.Wewe umeongelea a general issue Na sio hiyo Gari, plus, we Fala kuna watu wanajua Magari kuliko wewe!
Mkuu wiring harness nadhani zinauzwa kwaio engine yenyewe ipo fresh lakini ni hayo maswala ya wiring yananunulika...kuna sehemu niliwahi kuona watu wananunua wiring (Internal Combustion Engine), ECU, control panel ya caterpillar...General issue gani ambayo nimeongea?
Hiyo gari nimepima mimi au unahisi hizo picha nimeokota?
Hakuna mahali me nimeandika najua magari kuliko mtu yoyote. Sijui we umetoa wapi hayo maneno?
We uliongelea kuhusu kununua engine nyingine ila mimi nikakuambia vitu vingi hapo ni short circuit na open circuit. Kwa gari hizo za ulaya uwezekano mkubwa ni kuchoka wiring.
Engine tu ina faults 13 we unajua ni vitu gani?
Mkuu,labda hujanielewa..Labda nikurahisishie hivi,
Unapoweka mashine ya diagnosis yenyewe inachofanya ni kusoma taarifa za matatizo ambazo zimehifadhiwa kwenye mfumo wa computer wa gari. Hivo tu.
Hivyo ukiona mashine imekuletea fault jua hiyo fault ilihifadhiwa mahali ndio wewe umeweza kuiona.
Sijui umenielewa?
HaaahaaaHaaahaaa. Huwa nakutana na mercedes benz e class na audi a4 zina hali mbaya balaa cjui kwann. Unascan codes lkn majibu yanaogopesha, ila kama una roho ngumu unalitengeneza.
Kinyume cha hapo hakuna rangi utaacha kuona.
Hizi ndio zile Mercedes Benz zinauzwa 2m unahisi km umeangukia dodo. 😂😂😂
Yanini kuharibu uzi wa watu. Acha watu wajifunze
Wadangangwe? Gari Ni body! Engine is never an issue!
Japo benz kukuta imekufa control huwa ngumu sana. Anyway ukipata dealership software kama xentry inaweza rahisisha kaziHizo faults zinaonekana nyingi kwa sababu diagnosis inakuambia alternative issues lakini ukipata workshop ya Benz na kuanza kupitia kila part inarekebishika..Kubadili engine ni last option.
Faults nyingi ni mfumo wa umeme ila ECM na transmission inaweza kuwa kipengele.Pia huyo mmiliki wa hii chuma alikuwa anaitreat hii Benz kama Spacio..
Daah kuna comment zinatia aibu hata kusoma.Still Ni dodo maana majina issue hapo Ni engine and you can cheaply order yenye Hali nzuri!
Huwezi Kuwa mjanja wa kila kitu, Gari Ni body always, the engine can be recovered
HaaahaaaHaaahaaa. Huwa nakutana na mercedes benz e class na audi a4 zina hali mbaya balaa cjui kwann. Unascan codes lkn majibu yanaogopesha, ila kama una roho ngumu unalitengeneza.
Kuna audi nlikaa nayo miezi kumi kumbe shida ipo kwenye CAN. Nikiscan naona control modules zote zinafail kumbe sabb hazipokei right messages. Hapo kwenye picha hizo codes za control modules ukikagua CAN lines nadhan unaweza tatua baadhi ya matatizo. Gari za europe zikipata ttzo kwenye CAN lines utaona maajabu ajabu sana na nyingi huwa haziwaki. Kwa case yangu kumbe kuna junction inayounganisha CAN lines za Instrument cluster, ABS na ECM ilikua imegeuzwa baada ya mafundi mechanic kubadili engine. That was 10 months job kumbe soln ni kugeuza connector.
Ufundi umeme wa magar inabidi uwe na roho ya paka.... coz matatizo huwa ni madogo sn ila kuyalocate ndio shida
Nikiileta hii Toyota hiace hapo kwako nadhani hiyo mashine ya diagnosis utapiga shiti. Na chombo iko road daily inakula vichwa alfajiri mpaka usiku.