Gari Yako inatumia Mafuta kiasi gani kwa Km 500?

Nashauri ndugu zangu nunueni NISSANI DUALIS hii gari mafuta inanusa DAR - MWANZA (LITA 80 ZA PETROL), gari ipo safi sana ina cc 1750
 
Hiyo no average ya km 22 / L, gari yako ina engine ya bajaji mkuu ? [emoji16]
Fanya yafuatayo ili upate 22km/l: weka plugs mpya, weka fuel filter mpya, flush engine na engine flush au kerosine, fungua oil sample na isafishe vizuri, ifunge, funga oil filter mpya, weka engine Oil mpya- castrol, petrol weka ya kampuni ya total
 
Nadhani kwa kilometa hizo nitatumia wese la laki moja.

Nikitoka mtaani(dar) mpaka dom, naweka wese la laki na nikifika kule bado wese lipo la kupiga misele miwili mi3

Chuma ni cc 2000, mzigo diesel.
 
Ungeweka kwa lita ingekuwa poa sana maana bei inabadilika kila kukicha na ni tofauti kutoka eneo/kituo kimoja na kingine.

Mi natembeaga km 400 kwa lita 40-45
Kwa hzo Km 700+ ni Ltr 54
 
Bei ya Mkoanj ilikuwa ina range kwa 2560 kwa bei za oil com, Orasit, oryx, Lake oil etc...ila Puma na Engen ni 2660
 
Hata bajaj haifiki hizo kilometa
Usiwe mvivu ingia tu hata kwenye web ya suzuki,angalia hilo toleo,utajua hujui
Kwa hio na ww una gari ?? Na inakupa hio mileage😁😁 au umeenda gugo manake kule wameandika 20-37 sasa na ww umechukua hio ya mwsho umeleta huku😁😁 we jamaa akili zako sio ..nakwambia hivi hata bajaj hupati hio mileage
Narudia tena,nenda kwenye web ya kampuni husika ukapate taarifa sahihi kutoka kwa wazalishaji,habari za umri zinahusiana nn na uzi huu ndugu?

Halafuuuuuu,nisingependa kusema ila nikuambie tu,mi ndio kigari changu cha kupigia misele mjini,tena kinakula zaidi ya hiyo 37 kama ukicheza na speed na accelerator vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…