Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi ulitumia mafuta mengi sana ilitakiwa utumie walau lt 100 tu yani lt 1 kwa km 7 sio lt 1 kwa km 5.Kwa hyo kwa Km 500 Natumia 90k au 100k
Poa kiongozi nimekusoma chuma inakula mafuta vizuri 140k nadhani lt 1 kwa km 12 ata ungetumia mafuta ya 170k sio mbayaHapo sijaongelea lita Mkuu, nimeongelea pesa, yaani mafuta ya kiasi cha sh....
🤣🤣🤣Subiri wajerumani weusi watakuja hapo kukujibu na mbwembwe kibao.
😄😄😄 Naona mjerumani mweusi from Nuremberg akionyesha makeke yake.🤣🤣🤣
Gari ina cc kama Maji ya Masafi. Eti cc 1800.
Ngoja niseme upande wangu.
Me cc 2500. Computer pale inasoma 5-6km/L nikiwa town lakini HW inafikaga 9-11km/L.
Mjerumani uyo.
Suzuki Alto model 2014,km 37 kwa lita na sio hybridKwangu mimi,
Gari Toyota Premio F
1.8 L
Mwanza_Arusha
Zaidi ya 700+Km
Mafuta ya 140k
Hahahaa 6 cylinders inline. N52 aisee. Mjerumani fundi.😄😄😄 Naona mjerumani mweusi from Nuremberg akionyesha makeke yake.
Naona kitu Cha 325i hicho.
Hongera mkuuKwangu mimi,
Gari Toyota Premio F
1.8 L
Mwanza_Arusha
Zaidi ya 700+Km
Mafuta ya 140k
Kwangu mimi,
Gari Toyota Premio F
1.8 L
Mwanza_Arusha
Zaidi ya 700+Km
Mafuta ya 140k
Chuna gani hii?Chuma yangu cc2360
Full tank 60l
Inaenda km 460
Hiyo no average ya km 22 / L, gari yako ina engine ya bajaji mkuu ? [emoji16]Gari: carina my road , dar -moshi 550k lita 26 petrol