Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?

Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japann.

Funguka Mkuu..!
Toyota Mark ll Supercharger 24 Valves ndio gari ninayoipenda zaidi kuliko gari zote za Japenga.

Mimi namiliki fisi mmoja, ungo 3, bundi 1 na ufagio mmoja wa kusafiria
 
Back
Top Bottom