Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Hapana mkuu hiyo ni way back zaidi ya miaka 40 iliyopita
Ilikuwa nchi moja mashariki ya kati kwenye mafuta
Nilinunua used Nissan Skyline GT
Baada ya mwaka 1979 nikajipiga mpya black gt
Basi ulikuwa ahead, maana kwa umri huo kusogea nchi jirani uli kuwa kamanda.

Vipi uli ingia legal au ndo zile kaza kiume??
 
Basi ulikuwa ahead, maana kwa umri huo kusogea nchi jirani uli kuwa kamanda.

Vipi uli ingia legal au ndo zile kaza kiume??
😄 mkuu, mzee alinisaidia kuvuka Africa halafu akaniacha nisonge
Nilipita Yemen ndio nikapasua huko ila nilibahatika kupata kazi maana walikuwa bado sana
Sikusota sana ila maisha yalikuwa mazuri sana na thamani ya hela zao ni juu sana
Usijali ni hadithi ndefu iliyonizungusha Dunia
Ukitaka kupasua borders waone wote ni wajinga wewe ndio mjanja
 
Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?

Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japann.

Funguka Mkuu..!
Uuuuh! Kumbe Kuna kununua Gari?
Narudi wakuu, naja
 
😄 mkuu, mzee alinisaidia kuvuka Africa halafu akaniacha nisonge
Nilipita Yemen ndio nikapasua huko ila nilibahatika kupata kazi maana walikuwa bado sana
Sikusota sana ila maisha yalikuwa mazuri sana na thamani ya hela zao ni juu sana
Usijali ni hadithi ndefu iliyonizungusha Dunia
Ukitaka kupasua borders waone wote ni wajinga wewe ndio mjanja
Hahaha, ume nikumbuka story ya faroukh karin yule itv alikuwa baharia huwa nacheka Sana...

Keep telling me mkubwa, Hata iwe ndefu vipi, huwa Nina sikio la kusikilizwa turning point za Watu.
 
Tajiri mtoto ss hivi unasukuma ndinga gani? 😜
Hapa kuna 2 za watoto moja ya wife moja ya mzee sio mtoto
Utapiga ramli nani anamiliki nini hapo
Screenshot_20240411_195858_Photos~2.png
 
Back
Top Bottom