Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Nimeipenda beibyy 🥰🥰🥰
Mapacha siwataki ila ntadabo mwaka mtoto, mwaka mimba 😜
Sasa na pension sichukui acha niongeze mkataba tu maana naona oda za nepi zinakuja kila mwaka
Watoto ni Baraka yaani kila unapoongeza na hela zinaongezeka tu maana unapiga kazi kama hakuna serikali 😄
 
Attachments

  • tapatalk_1521144929388.jpeg
    tapatalk_1521144929388.jpeg
    28.9 KB · Views: 5
Sasa na pension sichukui acha niongeze mkataba tu maana naona oda za nepi zinakuja kila mwaka
Watoto ni Baraka yaani kila unapoongeza na hela zinaongezeka tu maana unapiga kazi kama hakuna serikali 😄
🤣🤣🤣🤣🤣 kabisaa daddie
 
Back
Top Bottom