Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
Mi gar yakupewa niliipata nikiwa na 20yrs nilipomaliza six.
Ilikuwa sedan flan automatic ya toyota sijui model gan.
Ilikuwa sedan flan automatic ya toyota sijui model gan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Hii Gari Hua Nikikuta Imeegeshwa (Parking) Sehemu Hua Naona Aibu Kueka Harrier Yangu Naona Nieke Mbali au Nijifanye Nimeeka Car Wash Ikoshwe Kumbe Aibu Tu..!! 😂😂😂Range Rover ila inasumbua gear umeiharibu acha nikutafutie nyingine
Hii unaionaje ni Range pia kama unapenda gari kubwa View attachment 2961016
Kijana ,nawe uko kwenye nyuzi za magari.sema nili sahau Huku maliza dozi, maana vidonge Nili viiba😁😆
Kaka Mimi sija wahi panda Wala miliki, labda la kuchora🤓😁Kijana ,nawe uko kwenye nyuzi za magari.
Hujawahu kuniambia kaka yako unipe "lift" maana sifahamu kuendesha wala kupanda gari,
Hivi wanapandaje gari? Kama punda vile tunavyompanda mgongoni?
Bila shaka unaongelea kwa wenye familia kubwa au wategemezi wengi, kibongobongo hicho siyo kipato cha kumfanya mtu aishi kinyonge kiasi cha kugombea daladala, au umemaanisha magari ya kuanzia CC 3000Kama kipato chako kwa mwezi kiko chini ya 5m achana na magari
Jamaa nime mshangaa Sana, maana Watu wengi- wako chini ya hata 2m na still Wana bang mtaaniBila shaka unaongelea kwa wenye familia kubwa au wategemezi wengi, kibongobongo hicho siyo kipato cha kumfanya mtu aishi kinyonge kiasi cha kugombea daladala, au umemaanisha magari ya kuanzia CC 3000
Hapo nimezitambua za Porsche, Mercedes Benz na Volkswagen, hiyo hapo Mwisho ni ya Range auHapa kuna 2 za watoto moja ya wife moja ya mzee sio mtoto
Utapiga ramli nani anamiliki nini hapo View attachment 2960988
😂😂😂😂Mwenge hauruki mtaa, njoo hapa ushanipata laivu.....
Kula chuma hiyo..😋
Hilo la muhimu jirani🤒🤒😂😂Nawe unaangalia vigezo na masharti kuzingatiwa?? 😂😂😂
Ni vile tu hatujuani na ma-fake ID 😆😂🤣📌Kumbe member wengi wa JF tunagombea daladala pamoja
Range Rover SportHapo nimezitambua za Porsche, Mercedes Benz na Volkswagen, hiyo hapo Mwisho ni ya Range au
Kwa Mungu mbona madogo sana hayoMkuu Hii Gari Hua Nikikuta Imeegeshwa (Parking) Sehemu Hua Naona Aibu Kueka Harrier Yangu Naona Nieke Mbali au Nijifanye Nimeeka Car Wash Ikoshwe Kumbe Aibu Tu..!! 😂😂😂
Mungu Anipe Wepesi Miaka Si Mingi Namie Ntanunua Walau Hii Nifanye ata Mkopo wa Bank😂🙌
Labda kwa hewa maana akiniona atasema babu nisamehe sanaHizi conversation,kimasihara inanukia.