Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?

Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japann.

Funguka Mkuu..!
25 back in 2013 alteza gita
 
Hapa nikae vizuri naweza nikaruka na don mmoja
Mwenge hauruki mtaa, njoo hapa ushanipata laivu.....
Kula chuma hiyo..😋
 

Attachments

  • tapatalk_1521144929388.jpeg
    tapatalk_1521144929388.jpeg
    28.9 KB · Views: 2
27 tu nilikuwa na Rav 4 kipisi, hapo sina hata kiwanja
Kawaida kwa wengi... Mimi nimebadilisha gari kama 4 hata kiwanja huko mashambani sina eti najipa moyo nitanunua mbezi beach siwezi ishi maporini bunju wala wazo au madale huko hakuna huduma kipindi hicho. Ama kweli sasa hivi nimejenga mbali zaidi ya huko maana huko now hakushikiki.
 
Kwanza mi sipendi ugomvi hilo ondoa shaka kabisaa!! G Wagon yangu isikose mafuta tu!

Good nyt daddie 😘
Damu ya Yesu ikulinde, uniote thawaa? 😉
Thank you my dear uwe na usiku mwema acha nivute picha sasa nilale 😄
Nakupa card kabisa
 
Kwanza mi sipendi ugomvi hilo ondoa shaka kabisaa!! G Wagon yangu isikose mafuta tu!

Good nyt daddie 😘
Damu ya Yesu ikulinde, uniote thawaa? 😉
Kwa huyo anaweza kweli kukupa..ila naogopa kumpitisha nitakuwa Yuda🙆🙆🙆🤔🤔🤔
 
Ye mwenyewe anapanda mwendokasi,hiyo funguo kaitoa wapi?maana ya geto tu Hana labda anipe ya trunker😁😁😁
Kasema ana phoenix 😂😂😂😂
Nikakumbuka ww unapenda vitu vya kijinga kijinga km baiskeli
 
Alhamdulilah Imenichukua Miaka 27 Hapa Duniani Kumiliki Gari Yangu Mwenyewe (Harrier) Tena Bila Mkopo wowote Wala Sio Zawadi Ati Nilipewa na Mtu...!! Wallah Kua na Gari ni Raha Sana Tena Yenye Hadhi

Sina Uzee Wowote ni Kijana Mdogo wala Sina Pesa Nyingi ila Kudra Zake Mola Kanijalia Hiki Kijiusafiri
 
Back
Top Bottom