Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

😍😍😍😍 Ya kwangu iko wapi? 😜
Wewe hangaika ili watoto wako wafaidi
Mimi mda umeenda na nimeishagawa kwao
Au nikuandike uwe mjukuu? 😄 🤣
Ila G Wagon ntachukua nikistaafu soon au unasemaje maana kwa 150m ya bongo ntaimudu ni £50,000 tu ila ya miaka 10 iliyopita kama Porsche hiyo ina 13 years
 
Watoto wangu unao wewe 😜
 
Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?

Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japann.

Funguka Mkuu..!
Mimi nilipewa na baba mwaka 2007 nikiwa naenda first year udsm,21 yrs
 
😍😍😍😍 Ya kwangu iko wapi? 😜
Range Rover ila inasumbua gear umeiharibu acha nikutafutie nyingine
Hii unaionaje ni Range pia kama unapenda gari kubwa
Screenshot_20240411_203257_Photos~2.png
 
Back
Top Bottom