Karibu..Toyota Rav4 5door old modelMleta mada amesahau tu kusema kila mtu aseme ni gari gani anamiliki,, nijichagulie mwenye brand kubwa niruke naeππππ₯³
aisee kweli jf ime kuza ππ€£Mleta mada amesahau tu kusema kila mtu aseme ni gari gani anamiliki,, nijichagulie mwenye brand kubwa niruke naeππππ₯³
Tulia kwanza mkuu, ngoja tusubiri na wengine wengine nifanye comparisonππKaribu..Toyota Rav4 5door old model
Muone ππ.. Me wacha nisubiri matajiri wa jf hapaπΏπ₯€aisee kweli jf ime kuza ππ€£
Haya tawire ππ€£, nenda kwa tahadhari, maana matajiri hawanaga habari π€£Muone ππ.. Me wacha nisubiri matajiri wa jf hapaπΏπ₯€
Matajiri hawanaga kelele,, nasubiri nione comments yenye maneno mawili yasizidi matatuππHaya tawire ππ€£, nenda kwa tahadhari, maana matajiri hawanaga habari π€£
USI sahau we are using a keyboard ππ, so don't fall for barely words π€£Matajiri hawanaga kelele,, nasubiri nione comments yenye maneno mawili yasizidi matatuππ
Itajulikana hukohuko bhana,, chamsingi brand new carπ€π€USI sahau we are using a keyboard ππ, so don't fall for barely words π€£
21yrsNajua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?
Funguka Mkuu..!
Hata ya kuchora ππItajulikana hukohuko bhana,, chamsingi brand new carπ€π€
Jf ilivyo na madon wengi unataka kuniambia sitapata hata mmojaπ€π€π€Hata ya kuchora ππ
Nao Wana vigezo vyao, uta sikia chura ya kijerumani IPO ππ€£Jf ilivyo na madon wengi unataka kuniambia sitapata hata mmojaπ€π€π€
Toyota Mark ll Supercharger 24 Valves ndio gari ninayoipenda zaidi kuliko gari zote za Japenga.Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?
Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japann.
Funguka Mkuu..!