Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

Nusu engine ile ya chini

Kwanza kwa vyovyote kugonga kwa gari yako hakukuwa na lolote la kufanya na oil iliyowekwa.

Kugonga mara nyingi husababishwa na engine kuingia hewa na impurities hasa za vyuma vyuma kwenye combustion chamber.

Kuendelea kutumia oil hiyo uliyoitaja haina shida ila hakikisha air filter iko vizuri:

"kwamba inasafishwa vizuri na ukiweza kupata mbadala (mpya) ni bora zaidi."
 
Habari za mchana watu wangu

Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?

Kutaja aina ya gari ni muhimu ili kuweza kupata ushauri sahihi
Kwa hizi gari zetu za kawaida (ndogo) tumia 5w-40 kwa dar (sehemu za joto) au 5w -30 kama upo mikoa ya baridi. Hizo oil zinapatikana kwa wingi vituo vya total, Puma nk
 
Back
Top Bottom