Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

Habari za mchana watu wangu

Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Liqui moly oil sijui kama nime spell vizuri unaweza Google pia
 
1724673299996.png

Mwamba wangu huyu hapa hata mafuta ya kula naweka na misele kama kawaida.

Ishaacha hata kusoma mileage.
 
Ndiyo mzungu anaita half engine kwa kiswahili ni nusu engine

Pole sana mkuu.

Hiyo nusu sasa ni kuitunza. Komaa na service na kuhakikisha gauge ya temperature haikutupi mkono.

Zingatia kila taa red kwenye dashboard simama. Hizo ni fatal.

Kila taa orange usipuuze. Hizo ni warning.

Gari ikitunzwa kwamba ni "a lifetime investment, is real."
 
Pole sana mkuu.

Hiyo nusu sasa ni kuitunza. Komaa na service na kuhakikisha gauge ya temperature haikutupi mkono.

Zingatia kila taa red kwenye dashboard simama. Hizi ni fatal.

Kila taa orange usipuuze. Hizo ni warning.

Gari ikitunzwa kwamba ni a "lifetime investment is real."
Asante
 
Back
Top Bottom