Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

Exactly na ndio kilichokupata Rafiki! Unajua mswaki WA Sienta kama sijakosea inacheza Kati ya 900,000 Hadi 1.2m hapo, na nashawishika bado kuwa kuna foul ulichezewa na hao mafundi.
Jumla na ya ufundi imekula milioni 1.3 kufunga mswaki, halafu mafundi walioharibu wao waliharibu ili wapate ya dagaa yaani yanauzi
 
Gari yangu ina zaidi ya 200,000 km ni cc1000 na mpka leo naweka recommended oil 5w30 na ina kwenda poa kama mpya, japo kidogo ina moshi najua si muda itabidi tu nibadili oil seal, kwenye suala la oil mie ndio huwafundisha mafundi.
 
Gari yangu ina zaidi ya 200,000 km ni cc1000 na mpka leo naweka recommended oil 5w30 na ina kwenda poa kama mpya, japo kidogo ina moshi najua si muda itabidi tu nibadili oil seal, kwenye suala la oil mie ndio huwafundisha mafundi.
Na safari ndefu pia unakwenda
 
Kwanza kwa vyovyote kugonga kwa gari yako hakukuwa na lolote la kufanya na oil iliyowekwa.

Kugonga mara nyingi husababishwa na engine kuingia hewa na impurities hasa za vyuma vyuma kwenye combustion chamber.

Kuendelea kutumia oil hiyo uliyoitaja haina shida ila hakikisha air filter iko vizuri:

"kwamba inasafishwa vizuri na ukiweza kupata mbadala (mpya) ni bora zaidi."
Engineer wa Tundu Lissu hours
 
Engineer wa Tundu Lissu hours

Usikonde ndugu wengine tunapiga miguu yote.

Kwamba elimu haina mwisho, umekuwa ndiyo msingi mkuu wa maisha.

Haya tena kama vile haitoshi, PLO. LUMUMBA kwa mara nyingine, tuna majina mapya.

Ila tofauti tu na yale ya King Kiba!
 
Habari za mchana watu wangu

Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Kama ni gari ndogo (sedan na SUV), tumia oils zenye viscosity kati ya 20 na 30, kwa mfano 5W-20 au 10W-30; ukizidisha kuanzia 40 utaharibu injini yako. Kama ni trekta au gari kubwa kwa mfano roli la tani 12 hivi unaweza kutumia viscosity kubwa kuanzia 40 hadi 50
 
Kama ni gari ndogo (sedan na SUV), tumia oils zenye viscosity kati ya 20 na 30, kwa mfano 5W-20 au 10W-30; ukizidisha kuanzia 40 utaharibu injini yako. Kama ni trekta au gari kubwa kwa mfano roli la tani 12 hivi bunaweza kutumia viscosity kubwa kuanzia 40 hadi 50
Asante sana yaani mafundi waliniwekea 20w-50 aisee engine ikaharibika
 
Back
Top Bottom