Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

Hao ndo hupigwa na vitu vizito..Kilometer watu hubadilisha ndani ya muda dakika 10 tu.
Hawana akili hao atauza gari ina kilomita 150,000 halafu anaenda kununua gari imechezewa kilomita ambayo ilikuwa na kilomita 210,000 zimebadilishwa sikuizi kilomita zinachezewa bora ufunge engine mpya ubaki na gari yako
 
Asante sana yaani mafundi waliniwekea 20w-50 aisee engine ikaharibika
Pole sana; viscosity ya 50 inaweza kuharibu kabisa injini yako.

Maswali yanayohusiana na aina za oil kwenye gari niliwahi kuyajibu sana kwenye thread hii

Gari ya miaka 20 iliopita, ina km zaidi ya 140k unaweka 5w30? Hongera.
Oil ya 5w-30 watu wanatumia hadi zaidi ya kilometa 200,000 na gari zinatembea kama mpya kabisa,kama hujui oil nzito zinaharibu engine ni oil za magari makubwa(marori) na trekta kama hiyo SAE haifai kabisa kwa gari ndogo wanaweka ambao sio wataalam
 
Hata hujui SAE ni kitu gani. Eti SAE haifai. Jifunze basi SAe maana yake nini?
 
Pole sana; viscosity ya 50 inaweza kuharibu kabisa injini yako.

Maswali yanayohusiana na aina za oil kwenye gari niliwahi kuyajibu sana kwenye thread hii

Ndugu uzi wako nimeusoma uko vizuri
 
Back
Top Bottom