Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
20W50 ๐๐๐๐Habari za mchana watu wangu
Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Angalau wangekuwekea 5W40 kama ni saloon.
Hizo km nyingi sana. Hiyo gari uza nunua yenye km chini ya 70,000.
Kabla ya kununua gari kwa mbongo hakiki km zake kwa ukaguzi wa mwisho uliofanyika Japan sababu magari mengi wanachakachua ma hata kwenye baadhi ya showrooms hapa bongo wanatudisha km nyuma