Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

Yaani mafundi wengi ni shida tu, yako ilikuwa gari gani
Tafuta Mechanical workshop, alafu pata fundi msimamizi wa pale, make sure kila mwezi unaipeleka hata siku moja anashinda nayo. Gari utaipenda maisha yako yote.

Hizi mambo za kutafuta mafundi mpaka gari iwe na shida ndo zinatuzingua. Unakuta fundi mwenyewe gari yako haijui vizuri.
 
Shida Ukimuachia fundi gari ashinde nayo anafanya yake labda uisimamie
 
Shida Ukimuachia fundi gari ashinde nayo anafanya yake labda uisimamie
Mafundi wa Mechanical workshop, ni tofauti na mafundi wa garage za mtaani. Try this and you will thank me later. Yaani hata kama ni brake zinazingua kitu kidogo, wewe kama hauna mambo mengi muachie siku nzima aikague na kurekebisha, utakuja kukuta gari yako ni kinanda sana.
 
Fundi aliyeikagua alisema waliweka oil nzito hii 20w-50 sasa najiuliza oili ipi inafaa
Natamani nikushauri Jambo, ukweli mchungu ni kwamba, ulikaanga engine na ikabidi kubadilisha nusu engine, na hao jamaa wanajua kuwa hujui mambo ya magari. Unaweza kukuta hata engine haikufungwa huo mswaki, anyway hakikisha Tu unaweka oil unayoamini wewe.

Ungekua Dar ningejitolea kuiona Gari yako na kukushauri ( kukuunganisha na Fundi chini ya usimamizi Wangu). Kuna Jambo nimeandika nikafuta
 
Pole sana mkuu.

Hiyo nusu sasa ni kuitunza. Komaa na service na kuhakikisha gauge ya temperature haikutupi mkono.

Zingatia kila taa red kwenye dashboard simama. Hizo ni fatal.

Kila taa orange usipuuze. Hizo ni warning.

Gari ikitunzwa kwamba ni "a lifetime investment, is real."
Aufuate huu ushauri, asidanganywe na mafundi.
 
Habari za mchana watu wangu

Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?

Tafuta Petronas inauzwa na mawakala wa oil. Caltex sijui kama bado wanaleta oil zao. Hawa wengine sijui ubora wao
 
Mafundi wa Mechanical workshop, ni tofauti na mafundi wa garage za mtaani. Try this and you will thank me later. Yaani hata kama ni brake zinazingua kitu kidogo, wewe kama hauna mambo mengi muachie siku nzima aikague na kurekebisha, utakuja kukuta gari yako ni kinanda sana.

Mtanzania umwachie gari?

Huwezi kukuta hata engine ni tofauti?

Sembuse nozzle, pump, turbo charger au hata control box?

Labda!
 
Yaani mafundi wengi wanaharibu gari wanajua wakitengeneza vibaya utarudi ili wapige pesa tena kumbe ni kufukuza wateja mtu akiondoka harudi
Exactly na ndio kilichokupata Rafiki! Unajua mswaki WA Sienta kama sijakosea inacheza Kati ya 900,000 Hadi 1.2m hapo, na nashawishika bado kuwa kuna foul ulichezewa na hao mafundi.
 
Back
Top Bottom