Winnie Winnie
Senior Member
- Aug 23, 2024
- 132
- 293
Habari za mchana watu wangu
Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Nusu engine ile ya chiniMswaki ndiyo kitu gani mkuu? 🤣
sio kubadilishaBadilisha gari
SientaKwani gari gani?
Ya mwaka gani? Kama NZ-FE usiangaike na castrol, peleka Total hapo wakuwekee oil yao.Sienta
Nusu engine ile ya chini
Tumia SAE40 iwe Total, Castrol,Puma,,OryxHabari za mchana watu wangu
Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Kama huna ushauri pita kushotoDah! Mimi nilijua ni Vii eite! Wewe weka tu oil yoyote ile inayouzwa kwenye maduka ya spea za magari.
Habari za mchana watu wangu
Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Hizo SAE mbona watu wengi wanaziponda sana kuwa sio nzuriTumia SAE40 iwe Total, Castrol,Puma,,Oryx
Badilisha gariNimeonba ushauri wa oil
sio kubadilisha
Anaeponda muulize SAE maana yake nini.Hizo SAE mbona watu wengi wanaziponda sana kuwa sio nzuri
Sawa mkuuAnaeponda muulize SAE maana yake nini.
Gari ni SientaKutaja aina ya gari ni muhimu ili kuweza kupata ushauri sahihi
Kwa hizi gari zetu za kawaida (ndogo) tumia 5w-40 kwa dar (sehemu za joto) au 5w -30 kama upo mikoa ya baridi. Hizo oil zinapatikana kwa wingi vituo vya total, Puma nk