Ahsante.. kwahiyo hapo tatizo ni kubwa sana?Usijaribu kuiwasha ipeleke kwa fundi.
Inawezekana maji yameingia mwenye spark plugs, mfumo wa hewa n.k ila kwa namna yeyote tu maji yameingia kwenye mfumo wa engine hii lazima ipelekee gari kukosa nguvu.
😃😃 swali fikirishi sana hiliKwa hyo tukikuambia tatizo utarekebisha wewe mwenyewe au?
Tatizo si kuingiza kwa maji, ama???Nataka tu angalau nijue tatizo linaweza kuwa ni nini?
Ahsante mkuu ushauri mzurii huuUpo umuhimu mkubwa sana kwa mmiliki wa gari kuhakikisha unakuwa na fundi walau mmoja permanent wa gari yako.
Hii husaidia sana kwakuwa fundi anakuwa anaijua gari yako hivyo huhangaiki sana kupeleka gari yako kwa mafundi usiowafahamu.
NB; Hakikisha unamjali fundi wa gari yako kwa kumpa ujira wake bila kupuuzia
ahsante nitafanya hivi mkuuGari ikiingia maji usijaribu kuiwasha unatengeneza matatizo makubwa mtafute fundi wa umeme na Engine uone baada ya kufungua na kufuta futa vitu inakuaje hasa sehemu za plug na fuse box...watumie mashine ile ya upepo kukausha kausha...Rav 4 itawaka haina umeme mwingi ila mafundi wahusike msilazimishe kuwasha wakati gari halijachekiwa vizuri...