Gari yangu imeingia maji

Nilikuwa nataka kujua hayo maji yanaweza kuwa yameleta madhara gani kwenye gari mpaka ikawa hivo??
Tatizo ni kuingiza kwa maji, imeathiri kiasi gani, fundi atasema baada ya uchunguzi.
 
Maji yakiingia kwenye control box suluhisho lake ni nini mkuu?
 
Ahsante mkuu ushauri mzurii huu
Kaka yangu gari yake ikizingua anampigia simu fundi wake anampa maelekezo anamtumia hela (nauli na matengenezo) fundi anaenda kucheck anamalizana nayo kisha maisha yanaendelea.
 
Tulia waya nikauke. Sometimes wiya zikiingia maji huwa ni kimbembe.

Ukifanya haraka utaliwa hela. Iweke juani siku nzima.
 
Kaka yangu gari yake ikizingua anampigia simu fundi wake anampa maelekezo anamtumia hela (nauli na matengenezo) fundi anaenda kucheck anamalizana nayo kisha maisha yanaendelea.
Safii hiyo nzur sana
 
Tulia waya nikauke. Sometimes wiya zikiingia maji huwa ni kimbembe.

Ukifanya haraka utaliwa hela. Iweke juani siku nzima.
Tumeitoa tangu jana saa 5 mchana itakuwa mpaka saivi haijakauka tu?
 
dracular ushauri mwingine huu hapa.
 
Nilikuwa nataka kujua hayo maji yanaweza kuwa yameleta madhara gani kwenye gari mpaka ikawa hivo??
Siku nyingine ukiwa na Gari lako ukafika sehemu kuna Maji usiingize Gari subiri chambo mmoja apite upime kina cha Maji ndio uingize Gari lako ukiona kina ni kirefu usiingize Gari kwenye Maji rudi ulipotoka nenda kapaki Gari lako panda Mwendokasi subiri Maji yapungue
 
oooh kumbe na tayota RAV 4 control box inaweza kuwa sh ngap japo kwa makadirio tu mkuu
RAV 4 miss TZ spear zake huwa zimechangamka. May be laki 3 sina uhakika. Niliwahi kuprogram tu control box walinilamba laki unusu.

But all in all ita fundi aangalie gari kwanza mitandaoni huku utakuwa misleaded.
 
ahsante sana rafiki angu
 
hahaha πŸ˜‚πŸ˜‚ eti nisubiri chambo mmoja.. ahsante kwa ushauri
 
hahaha πŸ˜‚πŸ˜‚ eti nisubiri chambo mmoja.. ahsante kwa ushauri
Ndio wenzio wanachofanya hivyo km kigari chako kipo chini sana subiria chambo aingie hata bodaboda au Bajaj kaa pembeni mwangalie anavyoitia Majini ukiwa pembeni ndio utajua wapi pa kupita SIO unalizamisha tu Gari linapiga vikombe wewe tukuzamishe baharini haujui kuogelea utapona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…