Gari yangu inakimbia sana!

Namshauri mtoa mada anunue spika zile za kutangazia sumu ya panya afunge juu kiasha arekodi tangazo la kuwajulisha watumia barabara wenzake kuwa niko kwenye mashindano kwa kurudia rudia ili wenzake wajue na atakae taka amjoin ndipo tutakapojua kama kweli passo inakimbia! Yani hiyo gari ambayo unaweza funga tairi za bajaji na ikatembea anasema vanguard anaenda nayo sambamba??!! Acha masihara kijana
 
Bado sijakuelewa, hivi unalalamika au haulitaki gari lako kwa kuwa huwezi kushindana na magari mengine?
 
Nmeshamiliki passo na nnakubaliana na maneno yako
 

Kuna siku nlikuwa dodoma kule kama unaenda Iringa kuna sehemu panaitwa magorofani, nlienda mida ya saa kumi na mbili nlikuwa na safari ya iringa, nikapata gari private jamaa alikuwa anatoka arusha anaenda mbeya ana crown athlete nilijuta kukaa mbele saa tatu kasoro dakika kama 5 nlikuwa iringa tayari, aisee nilikuwa nikisoma kibati kwenye dash board nashikwa na wenge kinoma sababu jamaa alikuwa anatupia 120 kwenda mbele aisee yule jamaa, huku nyuma kuna mzee alikuwa anaimba mapambio ya mbinguni incase kuna kitu kitatokea, nilivyoshuka nlihis kama kuna mzigo nimeutua aisee…
 
80% ya wanajf wanaishi Maisha ya kufikirika tu mitandaoni, eti kila mtu jf ana gari na Kila member anaishi dar

Watu wengi wana magari lakini kuna jamaa zangu wanauza haya magari unakuta mtu status kaweka gari inauzwa hadi 3M sawa ni mkweche lakini ni gari sasa jiulize watu wangapi wana 3M humu ? Kwanini ninyi ni rahis kuamini mtu akisema hana kazi mwaka wa kumi huu anasota, ila akisema anasukuma anasukuma range mwaka wa kumi huu ni ngumu kuamini ? Me sion logic ya mtu kusema ana gari wakati hana, sijui lakini ila magari sikuiz sio ishue sana
 
hahahahahhahahahahahahaha.....hatari sana mkuu.
bonge la ndinga hilo.
 
Mkuu,

Makongo mpaka Kibaha unapitia barabara gani? Morogoro road unaingilia wapi? Barabara zikoje?
1. Makongo -> Goba -> Mbezi (Magufuli Terminal) -> Kibaha

2. Makongo -> Mlimani City -> Ubungo Flyover -> Kibaha

Barabara zote mkeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…