Gari yangu spacio old model inakula litre 1kwa km 6

Gari yangu spacio old model inakula litre 1kwa km 6

niliwekaga uzi mwaka 2013 wa kuhusu ist,yangu ilikua unakula 4km kwa litre 1,yaan ukiweka mafuta litre 7.xx wakat ule ukitoka ubungo ukaenda temeke davis kona ukirud ubungo taa ya mafuta inakuwakia bugurun, gari nilinunua 2012 cc 1490 4wd watu walitoa ushaur lakn hakuna hata mmoja alieweza kutibu tatzo,mara air sensor,mara vacuum sensor,mara kaipime engne kwenye computr na vngne ving nilifanya,gari iko pale pale,nikatangaza kuuza watu hawaitak nikapaki nikanunua ti 3rd hand saafi nikatesa,mwaka jana alikuja fundi akaigusa ki2 kidogo sana ile ist ikawa mpya, km 14 kwa litre yaan mafuta ya elfu kumi kwa sasa naenda kgambon kuptia kongowe tokea hapa ubungo maziwa na kurud taa ya mafuta haijawaka.Fundi nilipomuuliza akasema ni rubber za kwenye nozzel,plz kachek pia hzo rubber ukishndwa ni pm nikuunganishe na fundi.
Nashukuru sana kaka taufanyia kazi ushauri wako
 
mkuu iangalie kama ni au si 4wd,silence kuwa juu pia mi mchango wa matumizi makubwa
 
Milion moja na laki tatu ilala shauri moyo unapata na hata pungufu ya hapo pia kutokana na uongeaji wako na utakaemkuta dukan maana pale wengi ni madalalal tu na ndo wanawaumiza wanunuzi ukimjua mwenye duka utapata chini na ukiwakuta madalal wankuanzia moja 5
Nadhani unaongelea engine. Wengi wanataka uwape uliyonayo kwa punguzo la bei. Wanachofanya ni ku overhaul na kuiuza tena. Unaweza kuwa unanunua ya aina hiyo.
 
niliwekaga uzi mwaka 2013 wa kuhusu ist,yangu ilikua unakula 4km kwa litre 1,yaan ukiweka mafuta litre 7.xx wakat ule ukitoka ubungo ukaenda temeke davis kona ukirud ubungo taa ya mafuta inakuwakia bugurun, gari nilinunua 2012 cc 1490 4wd watu walitoa ushaur lakn hakuna hata mmoja alieweza kutibu tatzo,mara air sensor,mara vacuum sensor,mara kaipime engne kwenye computr na vngne ving nilifanya,gari iko pale pale,nikatangaza kuuza watu hawaitak nikapaki nikanunua ti 3rd hand saafi nikatesa,mwaka jana alikuja fundi akaigusa ki2 kidogo sana ile ist ikawa mpya, km 14 kwa litre yaan mafuta ya elfu kumi kwa sasa naenda kgambon kuptia kongowe tokea hapa ubungo maziwa na kurud taa ya mafuta haijawaka.Fundi nilipomuuliza akasema ni rubber za kwenye nozzel,plz kachek pia hzo rubber ukishndwa ni pm nikuunganishe na fundi.
Engine ya petrol haina nozzle bali plugs.
 
Mkuu ni pm namba ya fundi, nina shida na rav 4... Ila kama upo Dar

niliwekaga uzi mwaka 2013 wa kuhusu ist,yangu ilikua unakula 4km kwa litre 1,yaan ukiweka mafuta litre 7.xx wakat ule ukitoka ubungo ukaenda temeke davis kona ukirud ubungo taa ya mafuta inakuwakia bugurun, gari nilinunua 2012 cc 1490 4wd watu walito
a ushaur lakn hakuna hata mmoja alieweza kutibu tatzo,mara air sensor,mara vacuum sensor,mara kaipime engne kwenye computr na vngne ving nilifanya,gari iko pale pale,nikatangaza kuuza watu hawaitak nikapaki nikanunua ti 3rd hand saafi nikatesa,mwaka jana alikuja fundi akaigusa ki2 kidogo sana ile ist ikawa mpya, km 14 kwa litre yaan mafuta ya elfu kumi kwa sasa naenda kgambon kuptia kongowe tokea hapa ubungo maziwa na kurud taa ya mafuta haijawaka.Fundi nilipomuuliza akasema ni rubber za kwenye nozzel,plz kachek pia hzo rubber ukishndwa ni pm nikuunganishe na fundi.
 
Duc in Altum ina maana gani?
Duc in altum means " head into the deep" is a social thought of John Paul the second. Ni phrase ya Kilatin kwa wale wakatolic wanafaham sana hii.

Duc in Altum
 
Duc in altum means " head into the deep" is a social thought of John Paul the second. Ni phrase ya Kilatin kwa wale wakatolic wanafaham sana hii.

Duc in Altum
Sawa asante bwana mkatoliki..na nguruwe sijui why aliitwa 'mbuzi katoliki'
 
Ushirombo naomba nitumie namba ya huyo fundi maana mimi pia nina Toyota Wish 1ltr per 6km kama imerogwa vile
 
Sawa asante bwana mkatoliki..na nguruwe sijui why aliitwa 'mbuzi katoliki'
Hii post yako ni kama una njaa, karibu nitakununulia kilo moja hapa River Side.

Duc In Altum.
 
ACHA KUPAKIA MISHUGA MUMYS. AHAAAAA, HAPANA BWANA HAPO NITATZO LA NOZZLE ZINATEMA MAFUTA MENGI MUONE FUNDI
 
Back
Top Bottom