NUNEZ DIAZ
Member
- Apr 15, 2015
- 85
- 115
Kuwa makini zinapenda kuanguka.habari wana jf
kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis,,kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana naombeni msaada jinsi ya kuitunza hii gari angalau idumu napokea maoni na ushauri jamani,,gari nimeipokea juzi tu
Dnt drink and drive, zingatia service, kama bado ni kijana, achana na mambo ya kijanga ya kushindana nani anamaliza kisahani.habari wana jf
kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis,,kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana naombeni msaada jinsi ya kuitunza hii gari angalau idumu napokea maoni na ushauri jamani,,gari nimeipokea juzi tu
shukrani sanaaHongera sana...jinsi ya kuitunza ni simple tu...uwe na akiba ya kutosha ili ununue spare stahiki
ahsante sanaa,,kisahani simalizi nina mtoto mdogoDnt drink and drive, zingatia service, kama bado ni kijana, achana na mambo ya kijanga ya kushindana nani anamaliza kisahani.
1.Kumbuka kubadilisha Oil kwa wakati, ni muhimu sana. Hii inaambatana na aina sahihi ya Oil inayopendekezwa na watengenezaji wa gari lako. Fanya service kwa wakati.Habari wana JF,
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis, kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana.
Naombeni msaada jinsi ya kuitunza hii gari angalau idumu napokea maoni na ushauri jamani, gari nimeipokea juzi tu
ahsante sana kwa ushauri1.Kumbuka kubadilisha Oil kwa wakati, ni muhimu sana. Hii inaambatana na aina sahihi ya Oil inayopendekezwa na watengenezaji wa gari lako. Fanya service kwa wakati.
2. Zingatia uendeshaji wako. Speed za kipuuzi, brake za kujidai na uendeshaji wowote wa kihuni achana nayo.
3. Chukulia serious mabadiliko ya gari. Ukishaizoea gari lako, likianza kubadilika utajua tu kuwa kuna mahali. Chukua serious na tafuta suluhisho mapema.
4. Marafiki ni wazuri. Lakini epuka sana kuazimisha azimisha gari lako kwa marafiki.
Hakika umemaliza kazi na gari unalo1. Epuka kuoshea gari Lako maji ya Chumvi. Utaliharibu na litapauka Sana.
2. Kuwa mbahili WA kuasimisha gari Lako. Epuka Sana kuasimisha watu gari. Gari ni lako peke yako.
3. Fanya service Kwa wakati. Kama oil inabidi ubadiri baada ya kilomita 5000 zingatia Hilo.
4. Tafuta fundi wako mmoja anaejua KAZI. Acha kumpa kila fundi gari lako awe analigusa utakuja kuharibiwa gari Lako.
5. Jifunze hata namna ya kufungua tairi na baadhi ya parts za gari sio unachojua ni kuingiza ufunguo na kukunja usukani.
6. Unapokwenda Kufanya service. Oil na vifaa vingine mwambie fundi akuandikie anavyovihitaji ukanunue kwenye maduka Genuine yeye fundi KAZI yake aje kuweka kwenye gari. Kumeibuka mafundi Wasio waaminifu unawapa hela wakufanyie service wanaweka Oil na vifaa vingine feki mwisho WA siku injin ya gari inakufa.
7. Zingatia alama za barabarani ipasavyo achana na mihemko.
Umemaliza kila kitu mkuu1.Kumbuka kubadilisha Oil kwa wakati, ni muhimu sana. Hii inaambatana na aina sahihi ya Oil inayopendekezwa na watengenezaji wa gari lako. Fanya service kwa wakati.
2. Zingatia uendeshaji wako. Speed za kipuuzi, brake za kujidai na uendeshaji wowote wa kihuni achana nayo.
3. Chukulia serious mabadiliko ya gari. Ukishaizoea gari lako, likianza kubadilika utajua tu kuwa kuna mahali. Chukua serious na tafuta suluhisho mapema.
4. Marafiki ni wazuri. Lakini epuka sana kuazimisha azimisha gari lako kwa marafiki.
[emoji23][emoji23] kisahani ni speedometer wazee wa kulala kwenye kona na 120km/H wanaelewa. Anyway maneno yasiwe mengi kumaliza kisahani ni kutembea hadi mshale wa speedometer ufike mwishoNgoja kwanza kumaliza kisahani ndo nini[emoji16]