Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Wanafiki mshafika. Inaangukaje?!Kuwa makini zinapenda kuanguka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafiki mshafika. Inaangukaje?!Kuwa makini zinapenda kuanguka.
Hapa unatusema team crown aisee[emoji23][emoji23] kisahani ni speedometer wazee wa kulala kwenye kona na 120km/H wanaelewa. Anyway maneno yasiwe mengi kumaliza kisahani ni kutembea hadi mshale wa speedometer ufike mwisho
Hapo kwenye namba 6 ndio changamoto. Unajua hizi gereji zetu za uchochoroni tunazotumia kufanya service ndogo wamiliki wake hawapo makini wanafanya kazi kimazoea na ndipo hizi gari huharibiwa sana.1. Epuka kuoshea gari Lako maji ya Chumvi. Utaliharibu na litapauka Sana.
2. Kuwa mbahili WA kuasimisha gari Lako. Epuka Sana kuasimisha watu gari. Gari ni lako peke yako.
3. Fanya service Kwa wakati. Kama oil inabidi ubadiri baada ya kilomita 5000 zingatia Hilo.
4. Tafuta fundi wako mmoja anaejua KAZI. Acha kumpa kila fundi gari lako awe analigusa utakuja kuharibiwa gari Lako.
5. Jifunze hata namna ya kufungua tairi na baadhi ya parts za gari sio unachojua ni kuingiza ufunguo na kukunja usukani.
6. Unapokwenda Kufanya service. Oil na vifaa vingine mwambie fundi akuandikie anavyovihitaji ukanunue kwenye maduka Genuine yeye fundi KAZI yake aje kuweka kwenye gari. Kumeibuka mafundi Wasio waaminifu unawapa hela wakufanyie service wanaweka Oil na vifaa vingine feki mwisho WA siku injin ya gari inakufa.
7. Zingatia alama za barabarani ipasavyo achana na mihemko.
Aiseee sio yule daktari amefariki mwaka huu nadhani kama sio mwaka jana. Alikuwa kama sio muhimbili hapo upanga basi ni muhimbili ile ya kule njia ya mkoa nimesahau jina.Kuna jamaa yangu nesi alichukuaga mkopo akalichukua hilo dude Dualis, ikawa mda wote maspeed tu.. Umbali mdogo tu anataka amalize sahani.. Alikuja kulibwaga, bahati nzuri akipata tu michubuko.
Kuna mwamba mwingine alikua daktari, nae Dualis ilikua gari yake ya kwanza.. Sijui lilimkuta jambo gani maana tuliishia kuambiwa amesha-R.I.P na alikua ktk barabara iliyonyooka ila gari ilitoka nyang'a nyang'a hakuna kilichopona!
Ushauri wangu jitahidi kua na nidhamu road.
Jambo la kwanza kwenye oil ya gear box. Fanya ubahiri wote ila sio hilo eneo. Usije ukaweka brand ya oil nje ya ile ya Nissan au ipo moja ya mobil ila sidhani kama inapatikana sana hapa Bongo. Ukiweka nje ya hiyo utakuja hapa kulia lia kuwa gari hizi ni mbovu kumbe ni wewe unashida.
Oil ya engine pia tumia yenyewe ya Nissan zinajulikana maana zipo za gear box na za engine. Asije akatokea fundi akakuchanganyia hiyo taarifa na kusema oil ni oil unaweza mix HAPANA. Kataaa. Tumia hizo oil za Nissan tuuu.
Gear box ya hiyo gari ni CVT so haitumii gear box oil (hydraulic) nyingine nje ya recommended ambayo ni zake na brand ya mobil. Utakutana na CVT oil (hydraulic) za brand zingine na mafundi wanaweza kushawishi kutia tu kwa sababu yoyote kataaaaaaaaa weka only ya Nissan.
Kingine, zingatia kutunza movements zako. Ni bora upite njia ndefu ya lami ukaingia gharama isiyozidi elfu 5 au 10 ya mafuta kuliko kufosi kupita njia fupi yenye mashimo makubwa na rough ambayo itaweza kukuchakazia gari yako na kuja kununua spare isivyo lazima. Ukiheshimu unapoipitisha ina uimara wa kutokukusumbua spare hata kwa miaka 2 bila shida yoyote.
Mengine nitakushauri kulingana na wachangiaji wanavyochangia. Karibu kwenye familia ya Nissan Dualis. For anything unaweza uliza tu bila shaka.
Hizi gari zina handling nzuri sana. Sasa ukiendesha kizembe inajibu kwa namna unaendesha. Ipo flexible na very comfortable kuiendesha. Nimeona hata wadada wengi wanakimbilia huku sasa maana wanaona comfortability na urahisi wa kuitumia.Kuna jamaa yangu nesi alichukuaga mkopo akalichukua hilo dude Dualis, ikawa mda wote maspeed tu.. Umbali mdogo tu anataka amalize sahani.. Alikuja kulibwaga, bahati nzuri akipata tu michubuko.
Kuna mwamba mwingine alikua daktari, nae Dualis ilikua gari yake ya kwanza.. Sijui lilimkuta jambo gani maana tuliishia kuambiwa amesha-R.I.P na alikua ktk barabara iliyonyooka ila gari ilitoka nyang'a nyang'a hakuna kilichopona!
Ushauri wangu jitahidi kua na nidhamu road.
Sio kweli. Milioni 3 unafunga nini engine mpya na front axle na matairi mapya gari zima?!Atunze sana hasa huko chini likianza kugonga kubadili spare huko chini hutaamini unaacha 3mil ......Nissan nyoko kwenye spares
Hata kama akikua huyo mtoto mdogo usimalize kisahani mkuuahsante sanaa,,kisahani simalizi nina mtoto mdogo
Mkuu Vitz new model recommend oil, ni ipi ?Hizi gari zina handling nzuri sana. Sasa ukiendesha kizembe inajibu kwa namna unaendesha. Ipo flexible na very comfortable kuiendesha. Nimeona hata wadada wengi wanakimbilia huku sasa maana wanaona comfortability na urahisi wa kuitumia.
Kipindi dualis zimeingia Taa ilikua 750kSio kweli. Milioni 3 unafunga nini engine mpya na front axle na matairi mapya gari zima?!
Kwakweli ata mimi nisingemaliza hicho kisahani[emoji23][emoji23] kisahani ni speedometer wazee wa kulala kwenye kona na 120km/H wanaelewa. Anyway maneno yasiwe mengi kumaliza kisahani ni kutembea hadi mshale wa speedometer ufike mwisho
Wewe unayo vits ipi maana new model zipo matoleo tofauti tukiacha ile ya kawaida tuliyozoea.
Kuna hiii 1.
Na kuna hii 2.
MBNA picha hamna
Yeah ila sasa bei inategemea unanunua wapi. Kuna pair ya LED Headlights niliulizia mtandaoni inagharimu kama 650K kwa zote mbili nimezipenda sana nataka kuja kuvalisha zile taa. Ngoja nikuonyeshe uzione.Kipindi dualis zimeingia Taa ilikua 750k