Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HiziKipindi dualis zimeingia Taa ilikua 750k
Sasa hiyo seti yake yaani taa zote mbili haivuki hata laki tano. Nimetazama hiyo customized LED Headlights set ndio inakaribia laki sita kwa seti. Sijajua wazee wa ushuru watachaji kiasi gani maana wale nguruwe wale.Ndio
1. Epuka kuoshea gari Lako maji ya Chumvi. Utaliharibu na litapauka Sana.
2. Kuwa mbahili WA kuasimisha gari Lako. Epuka Sana kuasimisha watu gari. Gari ni lako peke yako.
3. Fanya service Kwa wakati. Kama oil inabidi ubadiri baada ya kilomita 5000 zingatia Hilo.
4. Tafuta fundi wako mmoja anaejua KAZI. Acha kumpa kila fundi gari lako awe analigusa utakuja kuharibiwa gari Lako.
5. Jifunze hata namna ya kufungua tairi na baadhi ya parts za gari sio unachojua ni kuingiza ufunguo na kukunja usukani.
6. Unapokwenda Kufanya service. Oil na vifaa vingine mwambie fundi akuandikie anavyovihitaji ukanunue kwenye maduka Genuine yeye fundi KAZI yake aje kuweka kwenye gari. Kumeibuka mafundi Wasio waaminifu unawapa hela wakufanyie service wanaweka Oil na vifaa vingine feki mwisho WA siku injin ya gari inakufa.
7. Zingatia alama za barabarani ipasavyo achana na mihemko.
1.Kumbuka kubadilisha Oil kwa wakati, ni muhimu sana. Hii inaambatana na aina sahihi ya Oil inayopendekezwa na watengenezaji wa gari lako. Fanya service kwa wakati.
2. Zingatia uendeshaji wako. Speed za kipuuzi, brake za kujidai na uendeshaji wowote wa kihuni achana nayo.
3. Chukulia serious mabadiliko ya gari. Ukishaizoea gari lako, likianza kubadilika utajua tu kuwa kuna mahali. Chukua serious na tafuta suluhisho mapema.
4. Marafiki ni wazuri. Lakini epuka sana kuazimisha azimisha gari lako kwa marafiki.
Hiyo kawaida.Kipindi dualis zimeingia Taa ilikua 750k
Zingatia service with genuine lubricants na sparepartsHabari wana JF,
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis, kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana.
Naombeni msaada jinsi ya kuitunza hii gari angalau idumu napokea maoni na ushauri jamani, gari nimeipokea juzi tu
Gari nzuri sana binafsi ndo naimiliki baada ya Vitz.....Hizi gari zimekaa kishua sanaHabari wana JF,
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis, kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana.
Naombeni msaada jinsi ya kuitunza hii gari angalau idumu napokea maoni na ushauri jamani, gari nimeipokea juzi tu
utakua upo kwenye sekta ya afya.Kuna jamaa yangu nesi alichukuaga mkopo akalichukua hilo dude Dualis, ikawa mda wote maspeed tu.. Umbali mdogo tu anataka amalize sahani.. Alikuja kulibwaga, bahati nzuri alipata tu michubuko.
Kuna mwamba mwingine alikua daktari, nae Dualis ilikua gari yake ya kwanza.. Sijui lilimkuta jambo gani maana tuliishia kuambiwa amesha-R.I.P na alikua ktk barabara iliyonyooka ila gari ilitoka nyang'a nyang'a hakuna kilichopona!
Ushauri wangu jitahidi kua na nidhamu road.
[emoji23][emoji23] aisee mie muoga sana mwisho wangu hua 150KM/H hapo nakua makini kuliko kawaida wazee wa crown endeleeni na show mie hapanaHapa unatusema team crown aisee
Marafiki wanasemaga oya kaka ntaweka wese la kutosha[emoji23][emoji23] wanasahau chuma ni zaidi ya wese. Jamaa yangu alimuazima gari (Runx) mshkaji aisee alijuta maana alipigwa pasi ya kibabe na Fuso kama haitoshi side mirror moja ikavunjwa hatari sanaDah no 4 ni muhim sana ki ist yangu kimechubuliwa na kuvunjwa taa ya nyuma na marafik
Tulieni bhana sisi tuazime ndiga hizo tukavimbe si tunaweka wese la kutosha [emoji28][emoji28]Marafiki wanasemaga oya kaka ntaweka wese la kutosha[emoji23][emoji23] wanasahau chuma ni zaidi ya wese. Jamaa yangu alimuazima gari (Runx) mshkaji aisee alijuta maana alipigwa pasi ya kibabe na Fuso kama haitoshi side mirror moja ikavunjwa hatari sana
Haina tabu mbona safi tu mkuu[emoji23][emoji23]Tulieni bhana sisi tuazime ndiga hizo tukavimbe si tunaweka wese la kutosha [emoji28][emoji28]