Gari yangu ya kwanza nimenunua, Nissan Dualis

Sasa hiyo seti yake yaani taa zote mbili haivuki hata laki tano. Nimetazama hiyo customized LED Headlights set ndio inakaribia laki sita kwa seti. Sijajua wazee wa ushuru watachaji kiasi gani maana wale nguruwe wale.
 


Erro we ni masai?? Kuasimisha kuasimisha

Acha mambo yako bwana sema Kuazimisha
 

Dah no 4 ni muhim sana ki ist yangu kimechubuliwa na kuvunjwa taa ya nyuma na marafik
 
Zingatia service with genuine lubricants na spareparts
Epuka mafundi wa mitaani
Vitu vingine vingi jifunze mtandaoni kuepuka kupigwa
Epuka mikono mingi kwenye gari
 
Gari nzuri sana binafsi ndo naimiliki baada ya Vitz.....Hizi gari zimekaa kishua sana
 
utakua upo kwenye sekta ya afya.
 
Dah no 4 ni muhim sana ki ist yangu kimechubuliwa na kuvunjwa taa ya nyuma na marafik
Marafiki wanasemaga oya kaka ntaweka wese la kutosha[emoji23][emoji23] wanasahau chuma ni zaidi ya wese. Jamaa yangu alimuazima gari (Runx) mshkaji aisee alijuta maana alipigwa pasi ya kibabe na Fuso kama haitoshi side mirror moja ikavunjwa hatari sana
 
Tulieni bhana sisi tuazime ndiga hizo tukavimbe si tunaweka wese la kutosha [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…