chukua gari yoyote ambayo ni hatchback car au compact ila kwa profile yako hata IST haikufai we tafuta Passo, Sienta, Porte au Vitz.Kwendea kazini na mishe zingine town, Ila siku nilitaka Kwenda home kilometer 500 hivi niweze pia Kwenda nalo
Endelea kuota ndoto ikiisha nunua pepsi ya baridii unywe ukate wenge.Habari za humu ndugu zangu
Baada ya kujikusanya kwa miaka kadhaa hatimaye na Mimi nitaanza kutembea nimekaa Kama wengine
Nimefikisha million kumi net
Nataka ninunue gari ,Ila Sina kabisa idea ya mambo ya kuzingatia, ninunue wapi? (Kwa mtu au show room), aina gani,na mambo mengine,nauliza wenye magari kila mtu ananiambia lake sijui nifate ushauri wa Nani
Kikubwa iwe inatumia mafuta kidogo
Karibuni kwa ushauri
Kuna toyota porte na funcargo mkuu!
Itakuwa Funcargo hio bila shaka ama Rumion.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732]zipo sizijui jina ofisini Kuna mtu analo Yani utacheka mbele nyembamba kidogo nyuma pana ingefanana na hiyo alopewa qchila Ila enyewe IPO chini kidogo
Kwa profile yangu ist haifai kivipichukua gari yoyote ambayo ni hatchback car au compact ila kwa profile yako hata IST haikufai we tafuta Passo, Sienta, Porte au Vitz.
Usidanganywe kuchukua saloon/sedan hautaiweza!.
Waja mbona hamkomi maneno?Endelea kuota ndoto ikiisha nunua pepsi ya baridii unywe ukate wenge.
Habari za humu ndugu zangu
Baada ya kujikusanya kwa miaka kadhaa hatimaye na Mimi nitaanza kutembea nimekaa Kama wengine
Nimefikisha million kumi net
Nataka ninunue gari ,Ila Sina kabisa idea ya mambo ya kuzingatia, ninunue wapi? (Kwa mtu au show room), aina gani,na mambo mengine,nauliza wenye magari kila mtu ananiambia lake sijui nifate ushauri wa Nani
Kikubwa iwe inatumia mafuta kidogo
Karibuni kwa ushauri
Naenda bandarini moja kwa moja ama? Natafuta wauza magari?
Ist,raum,porte,allex,runx au spaciioHabari za humu ndugu zangu
Baada ya kujikusanya kwa miaka kadhaa hatimaye na Mimi nitaanza kutembea nimekaa Kama wengine
Nimefikisha million kumi net
Nataka ninunue gari ,Ila Sina kabisa idea ya mambo ya kuzingatia, ninunue wapi? (Kwa mtu au show room), aina gani,na mambo mengine,nauliza wenye magari kila mtu ananiambia lake sijui nifate ushauri wa Nani
Kikubwa iwe inatumia mafuta kidogo
Karibuni kwa ushauri
ππdah! Jamaa sijui walikua wanawaza nini kuunda magari kama hayaFuncargo ndio upuuzi balaa, kigari kimekaa kama toy la watoto. Porte ndio usiseme...ni kama vigari vya kupakulia mizigo kwenya makontena vile vi forklift.
Porte hiyo
π€£π€£π€£ ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa π€£π€£π€£π€£.ππdah! Jamaa sijui walikua wanawaza nini kuunda magari kama haya
Bonge la uamuzi LoD1. Achana na IST, VITZ, PASSO cjui na nn.... Wabongo wanajua tu gari hz, zimeshakua yeboyebo! Mtu mjanja nakuhakikishia hawezi nunua huo uchafu hapo juu. Tena bajet yako ingekuwa vzr kdg ningekwambia go for Suzuki Jimmy gari ya KAZI.Nimeamua ninunue Toyota Cami Bei Ni affordable na muonekano Ni mzuri
Ushasema inayotumia mafuta kidogo sasa IST ni cc1290 bado itakuwa kubwa hivyo vingine vina mpaka cc990.Kwa profile yangu ist haifai kivipi
πππ kitimotoHizi ndo zisipendi kabisa Kama kitimoto hapana hapana
Huwa zina tabia ya kuharibika show yake baada ya muda mfupi, hususan bumper zakeKwanini Vitz ya zamani na sio ya kisasa?
Kweli asee.... zinahitaji kudekezwa sana .Huwa zina tabia ya kuharibika show yake baada ya muda mfupi, hususan bumper zake