Gari za kidada

Mkuu BMW nilishangaa ni SUV but ina cc chache mno kama saloon cars

Eti why?
Jamani nimecheka kumbe saloon car Ni aina ya gari,mi nikajua Ni a.k.a labda ,nilihisi wadada wengi wanazo so Mara nyingi utazikuta saloon so ndo zikakatiwa hilo jina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125]
 
chukua hiyo kitu hutajuta kwa hela uliyonayo hiyo tafuta odd 40 tu weka mzigo wote halafu kapige usingizi dk 90 zipite uvute hii ndinga. Mbonaa simple tu .
 


I have a friend anaeagiza magari kutoka Japan na last time aliniletea IST ya 2004 yenye Km 47,000 kwa only 10.3M

Naweza kukuunganisha nae mfanya biashara. Ana miliki kampuni ya hizi makitu
 
Hela ya mafuta na service vipo, tatizo sio kununua tatizo ni kulitunza
 
 
Mmh kama na hii hujui tafuta ndg yako unaemwamini hata babayako muombe akutafutie IST nzuri ya CC 1290 hutojutia. La sivyo utapigwa na matapeli, umeskia ile stori ya yule mzee mstaafu morogoro?? Hahah

Bora 1490 hiyo ya 1290 haina nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…