Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 851
- Thread starter
- #121
Jamani nimecheka kumbe saloon car Ni aina ya gari,mi nikajua Ni a.k.a labda ,nilihisi wadada wengi wanazo so Mara nyingi utazikuta saloon so ndo zikakatiwa hilo jina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125]Mkuu BMW nilishangaa ni SUV but ina cc chache mno kama saloon cars
Eti why?