Gari za kuendesha mwanaume kwa mazingira ya nchi yetu

kamdinyo

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2026
Posts
267
Reaction score
739
  1. Ford Ranger
  2. Jeep Wrangler
  3. Toyota Prado GXR
  4. Toyota Land Cruiser VXR
  5. Volkswagen Amarok
  6. Subaru e-Boxer
  7. Land Rover Discovery 4
  8. Range Rover Autobiography
  9. Nissan Patrol (2025)
  10. Mercedes-Benz G-Class
Mimi ni binti, nipo hapo namba saba. Sijahongwa; nimenunua mwenyewe kwa jasho langu.

Sasa wanaume, kama upo kwenye orodha na gari lako ni moja ya hayo, jipigepige kifuani useme, Mimi ni binti 😅😅👌
 
Kwani hata mkihongwa baada ya kutanuliwa mapaja huwa mnasema ukweli basi? Si huwa mnasema mlianza biashara kwa kuuza pipi za kijiti chuoni, baadaye ndiyo mkanunua hayo magari yenu ya kifahari!

Shame on you.
 
nope! mimi naingia field ambako kusikia milio ya risasi ni kawaida sana, sio nyie wanaume wa bongo ya october 29 mnatoa milio kila kona, mimi yale ndio maisha yangu ya utafutaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…