100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ok, dah, watu mna michongo..kwa uchafu wa pembeni, dili chafu za pembemi
Nilidhani unafanya kazi UN, kule huwa kuna negotiators wana negotiate hadi na viongozi wa vikundi vya waasi..
Na unapewa na diplomatic passport, sema hizo kazi kupata PTSD ni kawaida..
Na mshahara wao ni mrefu..