Gari za kuendesha mwanaume kwa mazingira ya nchi yetu

Gari za kuendesha mwanaume kwa mazingira ya nchi yetu

1) ford ranger
2) jeep wranger
3) toyota prado GXR
4) toyota randcruser VXR
5)vorkswagen Amarok
6) subaru e- boxer
7) landrover dicovery 4/5
8) range rover outobiograph
9) nissan patrol 2025
10) mercedes G class

mimi ni binti nipo hapo namba saba.sijahongwa nimenunua mwenyewe kwa jasho langu.
sasa wanaume kama upo kwenye raum na familia yake jipigepige kifuani sema " mimi ni binti"😅😅👌
Utakua unadinyana sana.
 
Discovery 4 ni group za kina Harrier, Outlander, Murano, Rav 4, Xtrail. Sio gari la kusimama na kuziponda vits, ist sijui spacio.

Tena kama hukununua 0km ndo kabisaaa, kama unawaona wa spacio ni mabinti unakuwa umewazidi kidogo, binti uchwara.
 
tatizo wewe umeipata baada ya kudinywa hadi ukaamua kujiita kamdinyo
hapana, mimi mi mmoja wa amabye kama kuna mtu kutoka huko kwenye moyo wa madini anataka kutorosha mzigo tunatumika ni kazinya do or die, waendesha ist hamuwezi hizi kazi
 
ni
Discovery 4 ni group za kina Harrier, Outlander, Murano, Rav 4, Xtrail. Sio gari la kusimama na kuziponda vits, ist sijui spacio.

Tena kama hukununua 0km ndo kabisaaa, kama unawaona wa spacio ni mabinti unakuwa umewazidi kidogo, binti uchwara.
0 km na uniheshimu, nikopaki hii gari sehemu inakuwa kama imejitenga, inantofauti sana na huo uchafu harrier
 
Mara nyingi gari huwa zimetengenezwa kwa makusudio mbalimbali,
kamdinyo elewa hili kwanza,yaelekea hujambo wallah,mashaallah
 
ni

0 km na uniheshimu, nikopaki hii gari sehemu inakuwa kama imejitenga, inantofauti sana na huo uchafu harrier
Twende na uhalisia. We una Disc 4 au 5? ili tulinganishe na mwaka husika wa harrier 0km CIF na ushuru. Hamna kitu umemzidi wa Harrier cha kutisha, ni kwamba umechangamka tu, uchwara fulani. Kuspend slightly $10,000-$15,000 above others kwenye gari si jambo la kujivimbisha kwa wengine.
 
Nakupongeza mkuu, hizo ndinga kila mtu anatamani kuzimiliki, sema ndio hivyo tunataguta pesa na hazijawahi kujaa.
 
Sema mnapomiliko vitu vya thamani msiwe wepesi kuhukumu wasio navyo maana hata myie mlipitia mchakato kuvipata.
 
Back
Top Bottom