100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ok, dah, watu mna michongo..kwa uchafu wa pembeni, dili chafu za pembemi
kwa ni huyo jamaa ni mwanaume ?I'd yako ya kiume ni ipi
Nimepata mafunuo ya namna hiyo bwasheekwa ni huyo jamaa ni mwanaume ?
hivi nini kinasababisha mtoto wa kiume aamue ku act kama mtoto wa kike tena kwa kuamua kufungua Id ya kike ?Nimepata mafunuo ya namna hiyo bwashee
Nissan Patrol (Safari), LR Defender 110 V8, Land Cruiser LX.1) ford ranger
2) jeep wranger
3) toyota prado GXR
4) toyota randcruser VXR
5)vorkswagen Amarok
6) subaru e- boxer
7) landrover dicovery 4/5
8) range rover outobiograph
9) nissan patrol 2025
10) mercedes G class
mimi ni binti nipo hapo namba saba.sijahongwa nimenunua mwenyewe kwa jasho langu.
sasa wanaume kama upo kwenye raum na familia yake jipigepige kifuani sema " mimi ni binti"π π π
Sijuihivi nini kinasababisha mtoto wa kiume aamue ku act kama mtoto wa kike tena kwa kuamua kufungua Id ya kike ?
ukipata kutoka wapi ?
Sijaiona hii ID kitambo sana. Habari gani mkuu.Ndugu yangu adriz de mbusii jf inazidi kuchangamka huku.
Yani nikipambana kudunduliza mkuuukipata kutoka wapi ?
Mwenyezi MunguYani nikipambana kudunduliza mkuu
anaitwa KamdinyoWashakudinya huko unakuja kujifurahisha huku
Kum@ haijawahi kuchoka endelea kutembeza binti1) ford ranger
2) jeep wranger
3) toyota prado GXR
4) toyota randcruser VXR
5)vorkswagen Amarok
6) subaru e- boxer
7) landrover dicovery 4/5
8) range rover outobiograph
9) nissan patrol 2025
10) mercedes G class
mimi ni binti nipo hapo namba saba.sijahongwa nimenunua mwenyewe kwa jasho langu.
sasa wanaume kama upo kwenye raum na familia yake jipigepige kifuani sema " mimi ni binti"π π π
Aah! Mi nipo salama kabisa Mkuu.Sijaiona hii ID kitambo sana. Habari gani mkuu.
Umeamua kuweka gia ya juu mkuuUtoto ni raha sana
Bora uzizike gadhabu mkuu
Huwa unakoswa risasi ukiwa unawapelekea wapambanaji kamdinyondugu yangu mimi nakoswa koswa sana na risasi za M23 naingiaga kule kwenye majimbo yenye vito congo