Utakua unadinyana sana.1) ford ranger
2) jeep wranger
3) toyota prado GXR
4) toyota randcruser VXR
5)vorkswagen Amarok
6) subaru e- boxer
7) landrover dicovery 4/5
8) range rover outobiograph
9) nissan patrol 2025
10) mercedes G class
mimi ni binti nipo hapo namba saba.sijahongwa nimenunua mwenyewe kwa jasho langu.
sasa wanaume kama upo kwenye raum na familia yake jipigepige kifuani sema " mimi ni binti"😅😅👌
Dalili za upapai hizo huwaga na ndogo hawakawii kutoa.hivi nini kinasababisha mtoto wa kiume aamue ku act kama mtoto wa kike tena kwa kuamua kufungua Id ya kike ?
Kwani ye mwalimu mkuu?Sasa mbona hujaweka carina TI umewaachia wanawake?
Discovery 4 ni group za kina Harrier, Outlander, Murano, Rav 4, Xtrail. Sio gari la kusimama na kuziponda vits, ist sijui spacio.1) ford ranger
2) jeep wranger
3) toyota prado GXR
4) toyota randcruser VXR
5)vorkswagen Amarok
6) subaru e- boxer
7) landrover dicovery 4/5
8) range rover outobiograph
9) nissan patrol 2025
10) mercedes G class
mimi ni binti nipo hapo namba saba.sijahongwa nimenunua mwenyewe kwa jasho langu.
sasa wanaume kama upo kwenye raum na familia yake jipigepige kifuani sema " mimi ni binti"😅😅👌
hapana, mimi mi mmoja wa amabye kama kuna mtu kutoka huko kwenye moyo wa madini anataka kutorosha mzigo tunatumika ni kazinya do or die, waendesha ist hamuwezi hizi kazitatizo wewe umeipata baada ya kudinywa hadi ukaamua kujiita kamdinyo
0 km na uniheshimu, nikopaki hii gari sehemu inakuwa kama imejitenga, inantofauti sana na huo uchafu harrierDiscovery 4 ni group za kina Harrier, Outlander, Murano, Rav 4, Xtrail. Sio gari la kusimama na kuziponda vits, ist sijui spacio.
Tena kama hukununua 0km ndo kabisaaa, kama unawaona wa spacio ni mabinti unakuwa umewazidi kidogo, binti uchwara.
Twende na uhalisia. We una Disc 4 au 5? ili tulinganishe na mwaka husika wa harrier 0km CIF na ushuru. Hamna kitu umemzidi wa Harrier cha kutisha, ni kwamba umechangamka tu, uchwara fulani. Kuspend slightly $10,000-$15,000 above others kwenye gari si jambo la kujivimbisha kwa wengine.ni
0 km na uniheshimu, nikopaki hii gari sehemu inakuwa kama imejitenga, inantofauti sana na huo uchafu harrier
We bint unadarubini?,umejuaje?,hakika nakuogopa sasa!,vanguard yangu ya mil 23 hii,namba D ya zamani tu.ndio baba mwenye kitambi uendeshe vanguard