Gari za kuendesha mwanaume kwa mazingira ya nchi yetu

Long Money Toys.
 
Kwani hata mkihongwa baada ya kutanuliwa mapaja huwa mnasema ukweli basi? Si huwa mnasema mlianza biashara kwa kuuza pipi za kijiti chuoni, baadaye ndiyo mkanunua hayo magari yenu ya kifahari!

Shame on you.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huyu mleta mada anaelewa kwamba Tanzania ni kati ya nchi masikini kabisa duniani ambapo kipato cha mwananchi wa kawaida ni chini ya dola 2?πŸ™„
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…nchi gani?
 
Kum@ haijawahi kuchoka endelea kutembeza binti

Ipo siku utanitembezea na
kuwa na heshima, kazi nayofanya hata jeshi lenu haliwezi
Kwani jeshi linaweza mambo ya umalaya?
 
Nakupongeza mkuu, hizo ndinga kila mtu anatamani kuzimiliki, sema ndio hivyo tunataguta pesa na hazijawahi kujaa.
Mungunafanye wepesi ndugu zanguπŸ™πŸ™
 
Huyu mleta mada anaelewa kwamba Tanzania ni kati ya nchi masikini kabisa duniani ambapo kipato cha mwananchi wa kawaida ni chini ya dola 2?πŸ™„
nami mi mtanzania , wanaume wengi nchi hii wanaishi kwa mazoea , uthubutu nje ya boksi hakuna
 
Lamomy ona interview ya kamdinyo


View: https://www.youtube.com/watch?v=P_nvkrUORWQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…