Gari za kuendesha mwanaume kwa mazingira ya nchi yetu

Duh kamdinyo ....
 
Zinapatikanaje na bei zake ziko vipi. Mimi niliagiza Toyota Hilux Pickup ya mwaka 2018, ile yule dealer akanizengua.
 
nami mi mtanzania , wanaume wengi nchi hii wanaishi kwa mazoea , uthubutu nje ya boksi hakuna
Kwahiyo wanaume ambao hawana hayo magari uliyotaja we unawaona kwamba wanaishi kwa mazoea na hawana uthubutu?
 
Mwanamke tunaye safari hii maana si Kwa majigambo haya
Kazi IPO mwaka huu
 
Kwahiyo wanaume ambao hawana hayo magari uliyotaja we unawaona kwamba wanaishi kwa mazoea na hawana uthubutu?
ndiyo hawawazi nje ya box, hawawazi tofauti baba nene tumbo hilo na suti yake likishuka kwenye dualis unaanza kujiuliza huyu amepanda hili gari au gari limempanda yeye, na hajishtukii kabisa anaona sawa
 
Tuambie kwanza baba yako anaendesha ipi kati ya hizo?
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
ndiyo hawawazi nje ya box, hawawazi tofauti baba nene tumbo hilo na suti yake likishuka kwenye dualis unaanza kujiuliza huyu amepanda hili gari au gari limempanda yeye, na hajishtukii kabisa anaona sawa
Mimi nafikiri kama mtu umefanikiwa kimaisha unachotakiwa kufanya ni kumshukuru Mungu na kusaidia pale unapoweza. Kuna watu wanapambana kuliko wewe, wana akili kuliko wewe lakini Mungu hajawafungulia milango.
 
Kama land cruiser umesema rand cruiser. Nimeishia hapo kusoma magari yako
 
Mimi nafikiri kama mtu umefanikiwa kimaisha unachotakiwa kufanya ni kumshukuru Mungu na kusaidia pale unapoweza. Kuna watu wanapambana kuliko wewe, wana akili kuliko wewe lakini Mungu hajawafungulia milango.
hivyo vyote nafanya, na ninasomesha yatima6 kutoka kituo fulani, ninasaidiawagonjwa pia inapobidi , nimetoa hii mada kuchagiza au kuchochea mawazo mapya kwamba unaweza kupiga hatua zaidi bila kubweteka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…