Gari za Serikali (STL na STN) zagongana uso kwa uso

Hakuna hasara. Serikali inaweza kununua hayo kila siku ila ujenzi wa vyoo vya shule wanasubiri msaada wa wahisani.
Hii ni aibu sana mkuu hivi hao wanaoishauri serikali hayo mambo hawaoni au kwasababu watoto wao wabasoma shule za magari ya njano
 
Kuna moja tulikutana porini huko😀😀😀
Vumbi,katangulia mbelee..kila ukitaka kupita wapi..uzuri tunakujua kule miaka..kona moja tukachane naye,kaja kunikuta mjini anauliza hii chuma mbona inapepea kwenye vumbi kiasi hicho..😀😀

Nikamshauri Mkuu endesha gari vizuri familia bado inakuhitaji sana..😀😀😀
 
Mbuzi wa Bw. Kheri kala mahindi kwenye shamba la Bw. Kheri. Sasa Bw. Kheri atashitaki wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…