Jackpiano
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 560
- 756
“Gari zenye dashboard mbaya: Vitz vs RAV4 Old Models – Android haibadilishi look!”
Ujumbe wa kuanzisha:
Haya jamii nimekuwa nikitazama dashboard za baadhi ya magari ya zamani na nikajikuta nikishtuka. Angalia hizi picha: Toyota Vitz toleo la mwanzo.
Pia Toyota Starlet (chini) dash imekaa kizamani sana ata android ainogi
nayo ukiweka android tv auwezi ona vizuri ata seat za watu wa nyuma kuna gear level inaweka ka uzio yan kipengele izo Dashboard zao ni basic kiasi kwamba hata ukijaribu kuiweka Android radio bado inakaa style isio vutia kidogo na kuharibu aesthetic ya gari 😅
Rav4 old model picha ikionekana ivyo izi gari dashboard zimekaa kizamani
Nataka kusikia kutoka kwenu:
Ni gari gani mnaona dashboard yake ni mbaya kiasi cha kutovutia kwa ndani hata ikiwekewa android inakaa kama imefosiwa
Je, mnadhani Android au mod nyingine inaweza kuboresha muonekano au ni lazima ukubaliane na look ya awali ya gari husika tu ?