Gari zenye dashboard mbaya nikianza na vitz old model na rav4 old model nk

Gari zenye dashboard mbaya nikianza na vitz old model na rav4 old model nk

Umegusa pazuri hili suala dashboard ni muhimu ikiwa mzuri inavutia Sana, sio nje gari kali ndani kama makumbusho ya taifa an imekaa kizamanii, me binafsi dashboard ya bmw 3 series ya mwaka 2011 kurudi nyuma, ipo hovyo, lakini hata ya Mercedes C class ya 2015 kurudi nyuma imekaa kizee pia
😂😂😂😂😂😂
 
Na kuna dashboard ya Crown za hovyo Sana kama dumu sijui an kama kitu tu cha hovyo,,. Ila hii hapa chini naona ndio dashboard kali kwa crown sio Yale madumu mengine
 

Attachments

  • Screenshot_20260125-125904.png
    Screenshot_20260125-125904.png
    964.6 KB · Views: 22
Hivi mkuu Mad Max , hizi dashboard kama hii inakuja na toyota crown Athlete AWS210 ya 2013 kuendelea au unanunua tu dukani kupachika?
Na kuna dashboard ya Crown za hovyo Sana kama dumu sijui an kama kitu tu cha hovyo,,. Ila hii hapa chini naona ndio dashboard kali kwa crown sio Yale madumu mengine
 
Na kuna dashboard ya Crown za hovyo Sana kama dumu sijui an kama kitu tu cha hovyo,,. Ila hii hapa chini naona ndio dashboard kali kwa crown sio Yale madumu mengine
Mad Max namaanisha kwamba dashboard hii inakuja toka kiwandani kwenye crown toleo hili? au Inakuja na madumu yaleyale? Harafu mwenyew tu ndio unanunua hii dashboard kuwekea??
 

Attachments

  • Screenshot_20260125-125904.png
    Screenshot_20260125-125904.png
    964.6 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260125-133326.png
    Screenshot_20260125-133326.png
    807.4 KB · Views: 23
Back
Top Bottom